Nahisi kumchoka lakini kumwambia nashindwa

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka wa 3 udom.
Najitahidi kutomwonesha lakini nashndwa. Tulikuwa tuna mazoea ya kuchat mda mwingi kila siku lakini hivi sasa akituma sms hata kumjibu naona tabu. Asipo nitafta ndo kabisa simtaft. Si kwamba nafanya makusudi lakini sina mapenz kabisa juu yake.
Nataman kumwambia ukweli lakini nahisi ntamuumiza sana kwa kuwa mpaka sasa anaumia kiasi kwamba kamwambia ndugu yangu na marafiki zangu naowafahamu kuwa anaumia kuona nimechange.
Kusema kweli yani akiniita honey au sweet au dear nahisi kukereka yani sitaki hata kusikia akiniita majina hayo.
Jamani naombeni ushauri wenu vipi nimwambie au nikae kimwa

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,238
530
Hii nayo kali. Kwa hiyo pale mwanzoni mlipoanza kulikuwa na nini? Au unataka kusema ile chemistry iliokuwapo awali imengia impurities?

Mwambie....

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
Hii nayo kali. Kwa hiyo pale mwanzoni mlipoanza kulikuwa na nini? Au unataka kusema ile chemistry iliokuwapo awali imengia impurities?

Mwambie....

Daaah yani sielewi, mwanzo tulikuwa fresh tu lakin sijui wat is goin on with me. Na ajabu ni kwamba toka mwaka jan december sijamuona now tukolikizo yeye yuko mwanza ilibidi niende mwanza lakini nimetafta sababu nisiende kuepuka kukutana naye.

Nailyne

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
350
111
kweli mapenzi kizungu zungu- bila sababu yoyote u dont feel him/her anymore...the best way nikumwambia maana its more than six months!!

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
kweli mapenzi kizungu zungu- bila sababu yoyote u dont feel him/her anymore...the best way nikumwambia maana its more than six months!!

Ngoja nikusanye ushauri wenu then ntaufanyia kazi

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115

Dah labdainawezekana ikawa hivyo lakini toka mwez wa 3 mpaka sasa jaman na kila sikundonazd kupoteza upendo kabisa

inabidi ujitahidi kujiweka karibu nae.
Unahisi nini chanzo cha tatizo.

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651

inabidi ujitahidi kujiweka karibu nae.

Unahisi nini chanzo cha tatizo.

Sina hakika nini chanzo lakini inawezekana kuna dada flan tumetokea kuwa marafiki toka mwez wa 2 na toka tumeanza urafik tumekuwa karibu sana na nimetokea kumpenda lakini ye anadai ana jamaa yake thou sikuwahi kumwona naye anadai jamaa yake hamjali inaweza pita week hajampgia hata simu lakini ye anampenda sana. Si kwamba natoka na huyo dada lakini nina hisia za mapenzi juu yake toka nimfaham na kila siku ukaribu unazidi na ye ndiye kampani yangu. Labda ndo tatzo

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
Soma ww acha kuwaza vitu ambavyo utavikuta mbeleni

Ndo mda wa kuwaza sasa au umesahau kuwa chuoni kuna hata wazee wana hadi wajukuu still wanasoma. Nadhani kwa sasa mimi ni mtu mzma na si ajabu anytime naweza kuoa may b

hilo ndio tatizo. Jitahidi nafasi unayompa huyo rafiki umpe msichana wako.
Halafu nakushauri ujadili hivyo unafeel na mpenzi wako nina imani atakusaidia.

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,237
799
Utaacha wangapi mkuu,umeshakuwa sasa hebu jaribu kuseto na mwanamke mmoja.

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651

hilo ndio tatizo. Jitahidi nafasi unayompa huyo rafiki umpe msichana wako.

Halafu nakushauri ujadili hivyo unafeel na mpenzi wako nina imani atakusaidia.

Ntajaribu may be inaweza saidia lakini siyo siri nahisi kumwaga manyanga sema tu naogopa lawama na kushuhudia maumivu yake

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202

Ndo mda wa kuwaza sasa au umesahau kuwa chuoni kuna hata wazee wana hadi wajukuu still wanasoma. Nadhani kwa sasa mimi ni mtu mzma na si ajabu anytime naweza kuoa may b
Hao wazee unao wasema hawakuumaliza ujana wao na utuuzima wao ktk kisomo,walifanya maisha then wakaendeleza kitabu
u'r gender is male thats why coz most of people wanasema wanaume ndo huwa wa kwanza kuwachoka wapenzi wao naanza kuamini

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
Utaacha wangapi mkuu,umeshakuwa sasa hebu jaribu kuseto na mwanamke mmoja.

Sina lengo lakumuacha lakini hisia zinapotea kabisamkuu

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
Hao wazee unao wasema hawakuumaliza ujana wao na utuuzima wao ktk kisomo,walifanya maisha then wakaendeleza kitabu

u'r gender is male thats why coz most of people wanasema wanaume ndo huwa wa kwanza kuwachoka wapenzi wao naanza kuamini

Wajua sidhan kama ni busara kukimbilia kuoa bila kuwa katika mahusiano ya muda flan na utakaye muoa. Na mahusiano hayo ndo muda wake sasa kwa upande wangu. Ebu jiulizehivi ingekuwaje ndo nimemuoa msichana halafu nikamchoka. Sasa ni bora kusoma huku nikitafta mtu ambaye ntakuwa na uhakika wa kutomchoka au wehulioni hilo

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115

Ntajaribu may be inaweza saidia lakini siyo siri nahisi kumwaga manyanga sema tu naogopa lawama na kushuhudia maumivu yake

kesho nitakupm kwa ushauri zaidi. Nikisahau naomba unikumbushe.

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202

Wajua sidhan kama ni busara kukimbilia kuoa bila kuwa katika mahusiano ya muda flan na utakaye muoa. Na mahusiano hayo ndo muda wake sasa kwa upande wangu. Ebu jiulizehivi ingekuwaje ndo nimemuoa msichana halafu nikamchoka. Sasa ni bora kusoma huku nikitafta mtu ambaye ntakuwa na uhakika wa kutomchoka au wehulioni hilo
It makes sense but utawachoka wangapi?
jaribu kuangalia nn chanzo ukigundua bac unawezatatua hilo tatizo unavyo sema utafute mtu ambaye huta mchoka angali usije kuruka mko*jo na kukanyaga m*vi

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom