Hivi kwa nini kila inapotokea tafrani kidogo huwa mnapenda kuwaadhibu wenzi wenu kwa kuwanyima ile shughuli pevu? Yakitokea mabishano kidogo basi mdomo utavutwa mchana kutwa na ikifika usiku huduma zinasitishwa. Wakati mwingine mabishano wala hayana uhusiano wowote na tendo lenyewe. Mnaligeuza hili tendo kuwa weapon of mass destruction dhidi yenu na wenzi wenu kwani mara nyingi mkiweka vikwazo jamaa wanatafuta njia mbadala ambazo zina madhara mengi yakiwemo maabukizi ya VVU. Shame on you ladies!!!!!!!