Kwanini wanaume wengi wanapeform better nje ya ndoa kuliko kwenye ndoa zao

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,331
21,124
Hii ni research nimefanya kwa watu ninaowajua na nisiowajua kuna wanaume wengi waliokwenye ndoa
wameshindwa kuweka sawa mambo yao kwenye ndoa lakini wakitoka kwa nyumba ndogo kuna ambao walikuwa wakirusha mipira miwili kwa wakezao huko wanarusha mpaka minne unajiuliza wanazitoa wapi wakati wamekaa na wake zao zaidi ya miaka miwili wasizitoe hizo tano je hao wanakuwa nanini??

Ama wanalishwaga nini kuzitoa nyingi hivyo na je umejiuliza kama wanaume wengi wangekuwa wakitumika vyema kwenye ndoa kama wanavyojituma nje ya ndoa nakwambia pengine talaaka tungekuwa tukiisikia kwa mbali sana sana...
Embu mungu aliekupa nguvu za kusimama kanisani kukiri ni mkeo wa milele akupe nguvu uweze kuendelea kutunza nyumba yako...sijui ni vyakula kumekuwa na ongezeko kubwa sana la nguvu zza vidume tena vijana wadogo kabisa nadhani tunatakiwa kuwa makini sasa tuangalie wale wana nini na wako amemis nini na nini cha kufanya usirudie kwao tena

UNAKUTA MWANAUME KWENYE AKIWA NA KIZIGO ANAJITUMA SI MCHEZO YAANI ANAONYESHA SARAKAZI ZA AJABU KAMA SHI ZO NGHU
LAKINI AKIFIKA KWA MKEWE SIJUI ZINAISHIA WAPI WANAISHIA KULALIANA MLALO MMOJA MIAKA YOTE NA YEYE NI BINADAMU MWONJESHE AONJE HIZOS ARAKASI USIOGOPE KUULIZWA AMEZIPATA WAPI UNAMWAMBIA NIMETUMIWA KWENYE GOOGLE ..LAZIMA TUFIKE WAKATI TUWE WABUNIFU TUSIWAACHE HAWA WANAWAKE KAMAMBWEA ATI AAH YULE SI YUPO KILA SIKU UTALIA SIKU AKIODOKOLEWA NA KHANGA WA JIRAN YAKO MPWA AMKAAA BANA TUNASAIDIA NDOA Lakini hizi za kujituma aku mi naanza ushauri mapema tutumike mpwa

Duhhh
nadhani labda sababu nje ya ndoa wanaibia.
Na kama nwizi haibi pipi moja dukani atabeba
Mfuko mzima.. ...

Maana mama watoto akimkamata haulizi
Ni mara ngapi ulifanya kwa usiku mmoja ..
Ye ataakuuliza ni kwanini ulifanya? ..

Na upande wa pili pia rhe same applies!

ni sawa na part time job! u put more hrs in,u dont call in sick, hujisingizii headache. mwanaume mwenye akili hashobokei nyumba ndogo,manake anajua kabisa hamna mpya.ukithubutu kuipromote kuwa nyumba kubwa mtaudhiana hapa na pale,utahitaji space etc!

Hizo bao tano inamaanisha una spend tha whole night?...ukirudi nyumbani mamaa itakuwaje?
Labda udanganye safari lakini siwezi kufikiria kutolala nyumbani...that will be the end of it!
Na ukirudi nyumbani baada ya bao tano si utagunduliwa na mamaa?...
Sorry but I doubt it!!...hiyo itakuwa si nyumba ndogo..... bali mke mwenza.

Kobelo, wengine bao ni dakika moja tu yaani pump mbili kushnehi, si ajabu kuwa hata na kumi

Shantel; Kobelo, wengine bao ni dakika moja tu yaani pump mbili kushnehi, si ajabu kuwa hata na kumi?????????????????????? Kwani kuku?

Shantel; Kobelo, wengine bao ni dakika moja tu yaani pump mbili kushnehi, si ajabu kuwa hata na kumi?????????????????????? Kwani kuku?
Si ndio hapo? yaani si umeona eti bao tano, kwani vita hiyo, watu wanataka bao zao mbili sanasana tatu halafu ndeeeeeeefu

Mhh shantel usiombe ukutane na jamaa ana 9inch alafu bao la kwanza nusu saa,anafuta anapiga mechi tena bao la pili baaada ya dkk 60,guess what la tatu? baada ya kufuta la pili then another dkk 90,Je utaweza lisegele la dkk 180 non-stop? Mie bao la kwanza dakika 15 ila la pili kuanzia 30-45Mins.

Si ndio hapo? yaani si umeona eti bao tano, kwani vita hiyo, watu wanataka bao zao mbili sanasana tatu halafu ndeeeeeeefu

usipo hangaika ina maaana ndio itakuwa siku yako ya kwanza na ya mwisho. kwa hiyo inabidi ushughulike kweli. tundumisheni ndoa tamaa haziishi hapa dunia warembo walikuwepo, wapo na watakuwepo

Kobelo, wengine bao ni dakika moja tu yaani pump mbili kushnehi, si ajabu kuwa hata na kumi

kuna jamaa mmoja huwa namuona akienda kwenye mechi anabeba paket 4 hata 5 za kondom na akirudi huko huwa zimeisha zote! nahisi hawa ndo wale wa pampu mbili au tatu wazungu hao wanatoka!

Mhh shantel usiombe ukutane na jamaa ana 9inch alafu bao la kwanza nusu saa,anafuta anapiga mechi tena bao la pili baaada ya dkk 60,guess what la tatu? baada ya kufuta la pili then another dkk 90,Je utaweza lisegele la dkk 180 non-stop? Mie bao la kwanza dakika 15 ila la pili kuanzia 30-45Mins.
Kwani imekuwa vita hiyo ama?

ni suala la kisaikolojia , na ubunifu na mazoea ndo yanafanya perfomance iwe high au low

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom