Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wandugu, nilipata mtoto na binti mmoja miaka kadhaa iliyopita, hatukuoana wala kuwahi kuishi pamoja, nilimchukua mtoto akiwa na miaka miwili (pls dont ask why)na nilimlea mwenyewe hadi nilipooa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Salamu tele toka kwangu ziwafikie popote mlipo wanaJF/MMU! Ni matumaini yangu tu salama na twasonga mbele ktk shughuri na majukumu yetu ya kila siku. Leo ninajambo moja nitakalo lijadiliwe kwa...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Huwa napata na mshangao siku hizi ninaposikia watu wakiwasema wenzao eti kisa wameamua kuachana na mke au mume, na kuwaona kama ni malaya kwa maamuzi hayo, kuna watu wanamsema kwa mfano JLO eti...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanaume hutoka nje kwa sababu ambazo zinatofautiana na zile za wanawake. Wanaume hutoka nje kwa sababu ambazo zinaonekana wazi kwamba hazina mashiko, angalau kwa nje. Kama ilivyo kwa wanawake...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Nina best yangu ameolewa mwaka sasa, recently amepata kazi nje ya tz (UN) kwa mkataba wa miaka 2,yupo kwenye maandalizi kuondoka nchini amepewa miezi 2 ya kujiandaaa. Ameongea na mumewe kuhusiana...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Nataraji kufunga ndoa katikati ya mwaka ujao mjini Dodoma na mchumba wangu tuliyedumu naye kwenye urafiki kwa muda wa miaka 4 sasa, tatizo limekuja baada ya kwenda kupima na mwenzangu amekutwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf. nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu. Wanaume dhibiti hasira...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Hapa naongelea wanaume wanaofanya maamuzi ya kuachana na wake zao na kuoa mke mwingine au wake wengine - kutokana na sababu wanazozijua wao. Kwa waliofiwa na wake zao - poleni sana - hii mada...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
mvd to jukwaa la wakubwa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshma mbele ndugu zangu wa Tz na wana jf kwa ujumla. Polen kwa msiba. Mungu azilaze roho za marehem mahal pema pepon. Kwanza naomben ukarbsho wa dhati katka MMU. Nimekuwa nkivnjar kwingne kabla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba ni ya familia na wanaishi pamoja na wapangaji. Binti kamaliza elimu yake ya juu na kufanikiwa kupata kazi, ili aweze kuwa huru kaamua kuhama nyumbani na kutafuta nyumba ya kupanga. Baba...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Kusamehe ni kitu kigumu sana ingawaje ni tendo zuri sana kwa upande mwingine .Kwanini ni msamehe mwingine ambaye ananikosea mara kwa mara na wakati mwingine kwa makusudi na wala harudi...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Moved to another jukwaa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana wa JF mambo vp?.Kama kichwa cha habari kilivyojieleza ni mkasa ulomkuta shemeji yangu mdogo wake na mke wangu.Kama anavyoeleza;Ni miaka miwili sasa toka niwe katika uhusiano wa kimapenzi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jf Members Praise the Lord! I suddenly loose my Father this morning, RIP baba mdogo. Ooh Lord Give me strength huu mwaka sijui kuna nini, Nahitaji maombi yenu sana kwa sababu nimechoka kabisa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
K
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Back
Top Bottom