Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gagurito, Sep 9, 2011.

1. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Najua ni kweli kuwa kwa % nyingi mwanamke ameumbwa kimatamanio mbele ya macho ya wanaume hivyo kutongozwa ni lazima bt kwa leo Napenda kujua kama ni jambo la busara kwa wanawake/mpenzi/mke kumwambia mwenza/mpenzi/mchumba wake wa kiume pindi watongozwapo na wanaume wengine. Na utajisikiaje/utachukua hatua gani pindi mpenzi wako atakapo kujulisha juu ya kutongozwa kwake? (kwa wanaume).
Nisaidieni kwa kulijadili hili, binafsi haijawahi kunitokea bt nimekua nikisikia toka kwa friends zangu juu ya hili.

2. B

Bucad Senior Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 120
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Ni busara nzuri sana lakini isiwe mara kwa mara kwani inaweza kumfanya mwanaume ahisi kuwa penzi lake haliko salama. Inapendeza zaidi katika hali ya kusumbuliwa mara kwa mara na huyo mwanaume aliyemtongoza hapo inakuwa busara zaidi kwa mwanamke kumueleza mwanaume wake ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea endapo akiendelea kukaa kimya na sio tu kila akitongozwa kidogo basi amwambie mwanaume wake,hii haipendezi sana na chakufanya pindi hali hii inapotokea ni kumpa ushirikiano mwanamke ili aondokane na kero hiyo kwani kwa kukaa kimya baada ya kuelezwa tatizo kama hilo yaweza kuleta madhara makubwa kwenye huo uhusiano. Ushirikiano unaoweza kumpa ni pamoja na kuweka kimtego kitachofanya wote watatu mkutane kwa pamoja sehemu iliyosalama na kisha wewe kama mwanamume mweleze huyo jamaa madhara yanayoweza kumkuta kama ataendelea kumsumbua mwanamke wako pia kwa ujumla mweleze kuwa hiyo tabia si nzuri katika jamii na wengi yashawakuta mabaya kwa tabia kama hizo. Haina haja ya ugomvi mwoneshee ustarabu tu na ataacha!

3. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Well said, bt mimi nilibase zaidi kwa wale wanawake wanaopenda kuwaambia wapenz zao mara kwa mara, yani punde tu watongozwapo! wakati mwingine najiuliza juu ya reaction ya huyo mpenzi juu ya tukio, kama ujuavyo wanaume tulivyo wagomvi pale tuingiliwapo katika mapenzi, wakati mwingine nahisi huku kumwambia mpenzi ni kama kumtakia kifo ama kufungwa! Nadhani si vyema, nafikiri kuwambia wapenz ili kuwaweka salama!

4. Kiroroma

Kiroroma JF-Expert Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Feb 6, 2009
Messages: 368
Likes Received: 30
Trophy Points: 45
Bucad wewe ni Mfalme wa hekima,Katika maisha haya ya kupita hakuna sababu ya kupigana kwa sababu hizo za kike! Ni busara tu kumwadibisha mwanaume huyo mtongozaji kihivyo.Lakini shida inakuja, HAWASEMI HAWA! Upenzi ulikuwa zamani, kwani sasa wanawake wanaangalia mshiko zaidi!!!

5. K

KICHI Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Jul 22, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ni muhimu aseme hasa kwa wale wenye kuishi mazingira ya kufanana kama kazini au mtaa mmoja,mwanamke asipokuambia ujue atamtafutia nafasi kummegea huyo jamaa.wanawake wana roho mbili.

6. u

utantambua JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0

Katika hali ya kawaida ugomvi ni rahisi kutokea ukifanya hivyo. Hapa hata mtu anaweza kuuawa. Usifanye hivi kabisa

7. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Umeona eeh? Jamaa kadadavua hii hoja vyema, ameelaza vizuri then kwa lugha laisi kueleweka!

8. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Ugomvi ni vigumu kuepukika endapo mweza wako atakua anamripoti mtu huyo huyo mara kwa mara, tena huwa mbaya zaidi endapo mtongozaji anafahamika kwa mme/mwenye mpenzi. Chamsingi mwanaume apatapo habari hizi anatakiwa atumie busara sana, awe mvumilivu na afanye uchunguzi wa kina juu ya malalamiko hayo!

9. NGOGO CHINAVACH

NGOGO CHINAVACH Verified User

#9
Sep 9, 2011
Joined: Apr 8, 2011
Messages: 797
Likes Received: 145
Trophy Points: 60
Inabidi uangalie kwa makini mbona aliyowapiga kibuti anakuja kukwambia, je aliyowakubalia????wengne wanafanya hivyo makusudi ili aweke mazingira hatarishi, siku ukimkuta amebananishwa akwambie ndiyo huyu niliyekuwa nakwambia

10. Rose1980

Rose1980 JF-Expert Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 5,701
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
du! wana roho mbili ?
basi HAWAKUFI haraka...CZ ROHO MOJA IKIFA NYINGINE INATAKE OVA?
dahh m glad to b a WOMAN..roho mbili si mchezo dahh..so nijiesabie miaka km 160 hah haha so guuuuuuud !!!1

11. Rose1980

Rose1980 JF-Expert Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 5,701
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
kuambiwa inategemea na uyo mwanaume mwenyewe...
ay ikiwa mwanaume mwenyewe ngumi kiunon aipit wik ajadundana na wenzake...ata km ugomv hakuna ataenda kuukopa kwa jiran...vp jiran akuna mtu anayekuzingua nkamchape..AFU ET NDO UJIFANYE ..dia yaan john jaman anansumbua uyo...ahh sasa apo unataka nini?akidundwa mpk aumizwe ..polic..asi itakuwa ujinga mwsho wa siku

lakin km ukimwona jamaa mdiplomasi enough kumweleza jambo km ili ahh sio issue cz unajua atachukulia jambo kiutu uzima no ugomv no wat..

wengne ukiwaaambia tu beb yule tom wa voda kantongoza ahh inaanzia kwako ,...anakugecha vzuri..kwanini kakutongoza?mnajuana nyinyi ..mmeshndwana uko ndo unajifanya kuleta uzandiki wako apa...braa braa braa

SO ITS OL DEPEND NA UANAUME WA MWANAUME KTK KUCHUKULIA MWAMBO..UKIMWONA BADO MATURITY+USTAARABU neh ahh unanyamaza tu...

i do tellng him..na tunafanya km kichekesho tu ..isnt bg dil zaid ya kucheka bas...

nb; inakuwa ngumu kumwambia km kila siku anakufikiria vbaya unatoka na wanaume wengne..ajiamin yaan ahh mtu km uyu uwez kumwambia cz atachukulia sivyo like mshadinyana..

12. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#12
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

So wewe unaafiki wazo la kumwambia mwenzi wako pale utongozwapo? Je wakati wa kumweleza huwa unafikiria juu ya madhara ya kitendo chake? wat if km mwenzako atakua hurted na wewe kumwambia? wat if km ataonyesha unyonge ktk hilo? Je suala la uaminifu unalifikiria? Nimekuuliza hv coz umeonyesha kuafiki swala hili so jitetee!

13. Rose1980

Rose1980 JF-Expert Member

#13
Sep 9, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 5,701
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
we kaka jaman ahh umenisoma apo juu?
soma tena kaka

NIMEKWAMBIA INATEGEMEANA NA UELEWA WA UYO MWANAUME....

mimi yap namwambia sana tu cz najua tempa yake ikoje+ananiamini ..so nikimwambia ni poa tu tunaishia kucheka tu....LAKIN KM NINGEKUWA NA BFREND KM WEWE NISINGEKUAMBIA..cz tempa yako ipo juuuuuu...  inategemeana na uelewa WA MTU THATS T.

14. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#14
Sep 9, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Hahahahaha! Nimekusoma sasa binti! Unajua wengine watata teh! Ila kwa sasa nimekuelewa vizuri zaidi ya mwanzo! Binafsi siafiki swala la kuambiwa tena sitaki kabisa, kwangu si busara coz waweza sababisha taflan kubwa haswa!

15. Ndachuwa

Ndachuwa JF-Expert Member

#15
Sep 9, 2011
Joined: Mar 8, 2006
Messages: 4,529
Likes Received: 725
Trophy Points: 280
Akikataa anamwambia mpenzi wake; wale anaowakubalia nao anamwambia mpenzi wake? Kwanza kabisa kwa mke wa mtu kutongozwa na mtu ambaye anafahamu kuwa ni mke wa mtu ni dharau iliyovuka mipaka. Kabla ya kufikia hatua ya kumweleza mwenzi wake huyo mwanamke ajitafakari sana huyo aliyemtongoza anamwonaje wakati anajua ni mke wa mtu; akishapata jibu abadili tabia yake. Mazoea yanayopitiliza ndiyo yanayofikia kutongozwa mfano kupenda kuomba omba "Lunch, vitafunwa, soda, maji nk"

16. Keren_Happuch

Keren_Happuch JF-Expert Member

#16
Sep 9, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 1,880
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Mimi naona tatizo sio kuambiwa, je wewe kama mwanaume unapata faida gani kujua mke wako ametongozwa na fulani???!! Mimi naona hapa ni kujiongezea tu maadui, maana watongozaji wengine ni marafiki zake! Bora tu kukaa kimya.....kuepusha taabu nyingine.

17. M

Mr.creative JF-Expert Member

#17
Sep 9, 2011
Joined: Aug 8, 2011
Messages: 504
Likes Received: 17
Trophy Points: 35
yapo mawili kwa hili: moja anaweza akakuelezwa kwa leo ametongozwa akiwa na nia nzuri 2 ya kulinda penzi lenu upande wa pili anaweza kufanya hivyo ili umwamini kuwa anakupenda hata kama cku moja utacikia mpenzi wako anatembea na yule m2 , uciamin!

18. Mabagala

Mabagala JF-Expert Member

#18
Sep 9, 2011
Joined: Nov 27, 2009
Messages: 1,465
Likes Received: 42
Trophy Points: 145
Hata mimi huwa tunafanya utani, sometimes jamaa anaweza akapiga simu nikiwepo, ila hamna tatizo kama ukiwa unajua, ila nikigundua mwenyewe, hapo kwakweli ni ugomvi

19. Rose1980

Rose1980 JF-Expert Member

#19
Sep 9, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 5,701
Likes Received: 28
Trophy Points: 0

ahh wewe acha uwongo.usidanganye uma.

so nikitongozwa niseme ni mimi niliyemsabbabishia aliyentongoza anitongoze?
acha rabsha mjomba.

usigeneralize mjomba..smtimes wanaume wanaanza kutongoza somtmes mademu ndo wanaweka mazingira ya kutongozwa BT OL IN OL WANAUME NDO WANAANZA KUTONGOZA..WANAANZA kuwafata wanawake..kwa vgezo vyao wanavyovijua wao..so ata mkeo akitongozwa haina maana ajichek mara mbili..wanaume wengne mabuduani wanapenda wake za watu...wanakufata tu aijalishi uwe unajiheshimu au aujieshimu...wao wanachek tu wanakuja kukupa mistari..so mwanaume autakiwi kumjia juu mkeo et kia katongozwa...kwan ye alijaza fomu ya PLS GUYS NITONGOZENI..muelewe pia smtmes ata wanawake pia wanakereka wanapotongozwa..yaan kajitu kaajabu ajabu tu kanakuja kukutongoza ahhh lazima utanuna..UYU KANIONAJE?
so aupaswi kununa we mwanaume.

20. BPM

BPM JF-Expert Member

#20
Sep 9, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,765
Likes Received: 15
Trophy Points: 135
naamini si tabia sahihi kwa mkeo/gfriend wako kukuambia kila anapotongozwa.. ukiona hali hiyo elewa huyo mtu anaa madhaifu fulani hasa katika kukabiliana na hali hizo sasa anakuwa kama anakupima wewe mwanaume utajibu nini au utachukua hatua gani .?? pia anataka kulazimisha kukuonyesha kwamba ana msimamo na ni mwaminifu ... na mwisho anataka kukujengea uadui kwa watu maana wengine yawezekana unawafahamu na atakapokuambia kibinadam lazima utakuwa na chuki na huyo mtu

Loading...