Niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3, na mda ninao kwa...
Habari wana JF wote,
Naomba nitoe shukurani nyingi sana kwa wanajf wote walionipa ushauri kuhusiana na thread yangu niliyoanzisha hapa kuomba ushauri wa nn cha kufanya baada ya kupata dv 4 ya...
Hebu tuchukulie kwamba, unaye shemeji yako, yaani mdogo wa mke wako, ambaye ni mwanamke mnayeishi naye nyumbani. Inatokea kwamba, huyu binti amekufumania na mwanamke mwingine.
Wewe unamwomba...
Habari za w'end.....!!!Ukiangalia nchi nyingi za Africa, ukiacha Ethiopia, Somalia, Djibouti, na Morocco ambao wanawake wao ni warembo by nature, Tanzania haipo mbali, wanawake wengi pamoja na...
Heloo wana jamii,nimekuja humu kuomba ushauri na busara zenu.Mie naishi ughaibuni na wife(mbongo pia) na watoto wawili, m/mungu kanijaalia kazi poa na elimu ya juu tatizo huyu mwenzangu...
Nipo dilema wadau...nisaidieni mawazo,
Mimi ni sijaoa..umri unanitosha,
ishu ipo hivi nina girl frnd ambaye ananipenda sana coz nimepitia c2atn kibao still akastand na mim..at the same time kuna...
Wapenzi wengi haswa dada zetu huogopa au kumwonea haya mpenzi wao kumwambia hawana imani naye kuhusiana na vvu kwa hiyo kumshurutisha avae soksi kabla ya...
Mim huwa ni mpenz wa gazet la Mwananch, kuna kipengele cha kutafuta marafiki na wachumba. Nimefanya simpla research nikagundua wengi wao wanaotoa no zao kwenye magazet kwa ajil ya kutafuta...
Hebu fikiria kwamba, umegundua kwamba, mumeo ameishiwa kabisa nguvu za kiume. Bado umri wenu ni ule wa kati, mnahitaji bado kushiriki jambo hilo au pengine mnahitaji hata watoto bado. Je, kama ni...
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni...
Ifuatayo ni sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua:-
"Baba naiombea chupi ya mume wangu anapotoka katika nyumba hii, ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine iwe ni...
Habari zenu wana JF,
Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao
Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale...
Pengine ni utamaduni au nature, lakini ni mara chache sana mwanamke anaweza kumtamkia mwanaume 'nakupenda, naomba tu wapenzi' hasa kama hawajazoeana sana. Pia mwanamke anapokuwa na hamu ya mchezo...
MKE U
Kati ya mambo muhimu ambayo binadamu yeyote huota siku moja akutane nayo ni siku ya harusi kama kaka Gilbert Mongi na dada Bertha Mlay wakati ya sherehe ya harusi yao Istana jijini Dar es...
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii...
Kuna wanawake wengi sana ambao wanagombea kupendwa, au wanajipendekeza ili wapendwe. Hawa ni wanawake ambao wana kasoro kubwa kwenye mifumo yao ya kufikiri au ufahamu.
Unaweza kukuta mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.