Natafuta mchumba

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
674
Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 23 natafuta mchumba ili baadaye aje kuwa mke wangu please im siriaz
contact0755359708

napenda aliye siriaz tu

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,317
18,708
mbona bado we mdogo sana...umemaliza majukumu yote ya masomo kweli?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,929
19,810
mbona bado we mdogo sana...umemaliza majukumu yote ya masomo kweli?

Acha kumbania dogo anahitaji kumiliki roho ya mke!!

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
674
Sidhani kama upo sahihi kwa kusema me mdogo embu nipe umri wa mkubwa au criteria labda cjajua

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 23 natafuta mchumba ili baadaye aje kuwa mke wangu please im siriaz
contact0755359708

napenda aliye siriaz tu
kwa wake wa siku hzi kwenye red hapo ushawakosa..................huh

patience96

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
1,355
563
Dogo, Nadhani you are not really serious! Yaani uko mitaani kwenu umekosa mabinti wa kuoa, umeona ktk mitandao ndiko wachumba walipo! Hauko serious. Una Tembo card?

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,072
302
Afadhal ww umehamua kuoa mapema uanze kuwajibik, coz km rafk yangu ana kimbilia 30 hata wazo hana, yy na mech za ugenn tu, anadai bado mdogo, ss rafk yangu mbona hata sifa za mchumba hujataja mfano umr, elim, din, kabila, rang, kaz kipato, anakoish nk ili upate anaekufaa vinginevo utaopoa micharuko bana mdogo

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
674
Ok kwa vigezo ni
umri:asizidi miaka 23

elimu:awe amemaliza form six na kuendelea

la muhimu zaid ni ukwel na uwazi pia uaminifu.

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
674
Cjui una maana gan ila naheshimu maon yako kaka yangu
Dogo, Nadhani you are not really serious! Yaani uko mitaani kwenu umekosa mabinti wa kuoa, umeona ktk mitandao ndiko wachumba walipo! Hauko serious. Una Tembo card?

strit boy

Member
Aug 24, 2011
87
4
Wachumba wa mitandao sio ishu dogo komaa hapo kitaa mbona wapo wa kutosha ila kama unaimani ya dini yeyote ni vizuri ukatafute kanisani au msikitini.

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,540
742
Kijana we bado mdogo sana kuhusu suala la mchumba litakuumiza kichwa cha msingi maliza mambo yako ya shule kwanza then ndio utafute huyo unayemtaka

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,036
247
Dogo ukupata hata moja huko chuoni au O-level AU A-level ulikopita?Au msikitini au kanisani?Kam huko kote umekosa hapa kwenye mitandao kazi kwelikweli kupata.Soma bado .Kwa haraka haraka umzaliwa 1988 kwa hiyo bado unatakiwa uwe chuo au ndo unaingia chuo..

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom