Ananipenda kweli au zuga tu??

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?

Yote yawzekana. Wanaume hawaaminiki, pia wanawake hawaaminiki. Ujue kama una uwezo wa kifedha, hapo kuna maswali mengi kuliko majibu. Kama wewe ni maskini (financialwise you are poor) na bado anakusisitiza inawezkana anakupenda kweli. Lakini kama we ni tajiri, you risk being money maker for you gf

Kama anakwambia mara kwa mara... ni vizuri ukamsoma the type of person she is.... Wengine hawanaga mzaha na sio wa kuwachezea... For labda kumuacha kwa kitu ambacho aweza fanya waweza JUTA!! Hivo usiiichukulie mzaha for safetys sake observe...

kama anakwambia mara kwa mara... Ni vizuri ukamsoma the type of person she is.... Wengine hawanaga mzaha na sio wa kuwachezea... for labda kumuacha kwa kitu ambacho aweza fanya waweza juta!! Hivo usiiichukulie mzaha for safetys sake observe...

sawa sawa,.....

Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?

Mna malengo gani na huo u gf na bf wenu? Kikubwa ni nia na mengine ya kuchunguzana yanafuata! maana vijana wa sasa ni kawaida kila wiki kubadilisha wachumba.

Huwa kuna mawili katika jambo so jitahidi kuwa mwangalifu isije ikawa ni negative side. Pia jambo hilo litazame kimbele zaidi kwamba una mipango nae kimaisha au ndo full mikataba ya wabongo wengi toka utoton, kwa hivo waweza baini jambo.

Kwani ni kweli kuwa utakuja kumuacha/huna malengo naye? Inaonesha kama vile akitamka hilo neno, kiroho kinakusuta kwa ndani hivi?! Msichana wa hivyo kwa uzoefu wangu, ni msichana ambaye alishawahi kuumizwa na bf wake huko nyuma, na hilo lilimuumiza sana kiasi kwamba hataki lijirudie tena katika maisha yake ya mapenzi. So, please usimnuache msichana wa watu.

wel,mkuu ni kwel huyu mmanzi aliwahi kuumizwa na mshkaji wake wa mwanzo,kulingana na maelezo yake alonipa kipindi 2napigana sound.

Mna malengo gani na huo u gf na bf wenu? Kikubwa ni nia na mengine ya kuchunguzana yanafuata! maana vijana wa sasa ni kawaida kila wiki kubadilisha wachumba.

ye naona ana bright future na mimi bt kwangu me naona ni mapenzi ya kishule shule 2.

nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije nikamwacha.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?
mbona hupendeki? Un ataka afanyeje sas ili ujue kweli anakupenda? Amini anakupenda sana ndo maana anakusisitiza usifanye kinyume.amin hivyo.

hana lolote anakuibia huyo,ndio zao hizo ukijua anayoyafanya huko utatamani kujifukia,talking from experience

hili neno analolisema kila mara linaweza kuwa tofasili nyingi sana kunauwezekano anakupenda sana, au kunauwezekano anafanya kitu ambacho ukijua basi umsamehe. au defending mechanism ya kukupumbaza wewe ili umpende hasa kama wewe unakipato kuliko yeye

cna kipato chochote mkuu..

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom