PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
Habari JF!
Hii inakuaje?
Jamaa haishi kuwabadili wachumba lakin mke akioa ni mwezi utasikia ametengana nae! Anatatizo gani huyu?