Anaomba tuachane na sio kutengana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaomba tuachane na sio kutengana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by F12, Sep 1, 2011.

 1. F12

  F12 Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani mwenzenu najiona wazi naelekea kumkosa yule niliyempenda kwa dhati ya moyo wangu kwa sababu kadhaa ambazo hazikuwa na uhalisia kama anavyodai mwenza wangu! Kiukweli nlibaini kuwa mwenzangu ana moyo dhaifu sana kwani hata akisikia jambo la utani hunikasirikia na hata kuomba kuachana, basi nkisuruhisha anajirudi na tunaendelea tena. Kali na mpya zaidi ni baada ya kunichunia kwa siku 3 ghafla, sababu eti kuna mtu alimtumia ujumbbe mfupi wa maandishi uliosomeka "wewe usipende kugombana na wanawake wenzio, huyo unaemwita mpenzi wako hajatulia, habari ndiyo hiyo" Hapo ndio ulikua mwisho na kunambia kwanza keshampata mwingine hataki kuwa nami kwan kalichoka penzi langu lililojaa mateso na kumpa pressure kila siku, na pia hajali kitendo cha kuwafahamisha wazazi wetu juu ya uhusiano tulokua nao toka 2009, na binafsi toka nimemjuza mother ni wiki sasa inakaribia kupita so najiuluza nitatengua vp taarifa hizi kwa mother za kutengana na mtu mwenyewe ndio kasema nisimpigie tena simu kujadili mapenzi labda ishu nyingine.
  How can I do friends, kwan migogoro mingi nimepanchi kwa kumthibitishia uhalisia wa aliyoyasikia na jinsi yalivyo na kwa sasa ndio hataki hata kunisikiliza kujitetea. NAMPENDA KIUKWELI LAKINI ANANITESA ZAIDI YA SANA JAMANI.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah! Pole... Mapenzi Kizungu zungu.... Naomba soma post yako with a fresh eye...
  utagundua kua sio wako tena for hakupendi... hio message alotumiwa ni minor saana
  kusababisha yee aamue hufai....
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  kupenda kubaya,kupenda upofu,kupenda ni kujiumiza,kupenda maradhi.hasa unaempenda awe haeleweki.raha ya mapenzi,ni wote mpendani.huyo dada hakutaki,usiogope kumweleza mama yako mzazi.huwezi jua kiukweli is for the best,let her go,ya nini kujitesa sehemu ambayo hupendwi.ni ngumu ila jinasue haraka na uji keep busy.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  keshapeperuka huyo mkuu.................don f...k wit a gal wu don gv a f......k
   
 5. k

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  mikataba feki,taratibu
   
 6. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  duuuuuuuuu!!!!!

  kaka/dada nilipokuwa nisoma hii post yako mwiliwangu ulikufa ganzi na nikawa nirudia marambilimbili coz ulichokiandika ndicho nilichokipata mwenzio. hadithi ni ile ile' miaka 2' 'nimempenda kwa dhati' 'kujulikana kwa wazazi' kutoa kauli kuwa 'kalichoka penzi langu linalompa pressur' yaan nilijua aliyeandika hapa ndo huyo aliyekuwa ananifanyia mimi. ITS TOOOO PAINFULL hasa kwa mtu unaye/uliyempenda kwa dhati

  mwenzako maumivu nimeshayaamisha, now nayaugulia upande mwingine, maumivu niliyoyapata katika mahusiano yameisha but now maumivu nayoyapata ni haya ya Kuacha, NILIMPENDA SANA mwenzangu nikajikaza kisabuni nikachukua uamuzi wa kumuacha mwezi MAY lakini maumivu nayopata sijui kwanini,

  ndugu yangu hayo ndiyo mapenzi kwasasa siamini kama kunaambaye anaweza dumu na mtu muda mrefu, mimi nawaogopa sana, tena utapomuacha atakuwa wa kwanza kujishuku kwa FACEBOOK au JF (kamamember), I HATE THEM SO MUCH TENA SAANA NA SAAAANA

  mimi bado naamini kakika filosofia kuwa 'kama anakupenda kwa dhati hawezi kuonaunateseka hata sikumoja' atakupenda atakueshimu, atakusikiliza, atakuomba msamaha hata kama umekosa wewe. KUMBUKA WADUMUO KAKIKA MAPENZI NI WALE WAISHIO KWA HOFU KATIKA UHUSIANO kwani kila mmoja huwa anaishi kuhofia kumpoteza mwenziwake coz anampenda sana'

  POST YAKO IMENIGUSA SANA KAKA COZ UNACHOKIPATA NDO NAMI NIMEKIPATA FOR ALMOST THE SAME PERIOD OF TIME na jana niliandika thread moja inayosema 'NIMEMUACHA LAKINI NAUMIA MIMI' (please soma hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/168839-nimemuacha-lakini-naumia-mimi.html utapata msaada pia coz ni msaada niliopata kwa wana forum) jamani mapenzi %#@@$#%&^^$*&*&*(%^HJRUJ$%^&#%#^#^#%^@^%& SANA TENA SANA NA SANA.

  unaweza nitumia private sms kwa msaada zaidi coz nahisi nimeexperience kidogo nishee experience nawewe

  AHASANTE
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  pole kwa yaliyokukuta.ila sio wadada wote,ambao wako hivyo.mbona na wakaka mkipiga vibuti mnavipiga hasa,pengine na matusi juu.muhimu yakikukuta unajifunza,baadae unakuwa more careful.jipe break ya muda,na amini ipo siku utapata wako ambae atakupenda,na utajiuliza siku zote huyu mtu alikuwa wapi
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  thawa bbie mekuelewa.............huh
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Laiti angelijua kuwa mapenzi ni safari ndefu ilojaa kila aina ya vigingi mbona hicho cha mtoto?? Kuna wanaoletewa mpaka picha za watoto wa watu wakitaarifiwa kuwa huyu ni mtoto wa mchumbako unayejidai naye na kumbe ni nia tu ya kuwaharibia!! Atajajuta hapo baadae huyo. Huyu asinisumbue kichwa kwa kutokuelewa kwake, woga wangu uko kwako........
  Pole sana maana naelewa unaumia sana lakini jipe moyo, jikaze usikimbilie kwenye mahusiano mapya na piga goti mwombe MUNGU amfunue na kumpa macho ya uelewa huyu mpenzi wako kabla haijawa too late!
   
 10. F12

  F12 Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  thanx friends!
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  umemwacha au yeye ndiye kakuacha?
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine ni afadhali akamshukuru Muumba kwa kumwondolea hii karaha mapema...........................waswahili husema ya kuwa kheri nusu ya shari kulikoni shari kamili...............
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kuvuja kwa pakacha............................. Angalia mbele sahau yaliyopita.
   
 14. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hakuna kupanic mkuu, weka mipango yako mingine sawa, tafuta mwingine taratibu na uwe makini usijerudia mtu wa aina ile.Kitu kingine, ongeza vigezo vya kumpata mwingine kama unaona shida kuvuta pumzi kidogo huku ukiwa busy kufanya mambo yako ya msingi.
   
 15. j

  jumalesso Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole ndugu ndio safari. Jitahidi ukipata mwengine usipende kupita kiasi kabla ya ndoa na pia usiruhusu uchumba wa muda mrefu kwani unatoa miaya ya fitna wakati mwengine japo kwenye ndoa pia yapo lakini yakitokea kuna njia za kusuluhisha. Jipe moyo kwani ndio kwanza umeianza safari sisi wengine tuliooa hatukuoa mchumba wa kwanza bali mchumba watatu na maisha yanasonga mbele wala hatujutii hawa tulionao.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  mwambie akuimbie huu wimbo akigoma basi wewe umwimbie..................usihofu.............

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #17
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kubali matokeo mkuu na Mungu atakujalia umpate atakae kupenda na kukuamini sana...using'ang'anie usipopendwa na kuaminiwa.
   
 18. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  usilazimishe maji kupanda mlima kaka, kuwa mwelewa umependa tena kwa dhati lakini mwenzio hajakupenda. Jikatae.
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee!!!!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Well said MJ1
   
Loading...