Kigeugeu

Salma osman

Senior Member
Feb 22, 2011
164
42
Nina rafiki kigeugeu,alafu hypocrate. And she's ma best friend.what should i do 2 avoid her?
 
arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,285
583
Nina rafiki kigeugeu,alafu hypocrate. And she's ma best friend.what should i do 2 avoid her?
Anakuwaje best yako au unstahamili vp ufisadiwake? na msaada unaotaka mbona jawabu unalo? kwanini unashindwa kusema ukweli mueleze wazi nini kilichopo ndani ya nafsi yako na utamalizana nae hapo ebu uliza jambo la mana bwana wacha kutuchosha vidole sie.
 
Salma osman

Senior Member
Feb 22, 2011
164
42
Yah she's my best friend coz she's always there 4 me i nid her.but the problem is this she want my husband.the other day she told me she want 2 use ma phone, imagine all she wanted is my hubby's no.my hubby sms me(coz he's nt here with me) and ask me why am i sending love sms using another no. Then i told him 2 send me the no. that sms him. Imagine i found out it was her no. That's why am askin u friends what 2 do with her
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,219
1,677

Na ww mchukulie wake. problem solved.
 
shosti

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
4,906
1,498
nini kinakushinda hapo.....ukimkuta mumeo uvunguni mwa kitanda chake ndo utajua uanzaje!
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,708
5,613
Ukimchekea nyani shambani utavuna mabua! Unashindwa nini kumface uyo rafiki yako? Mfate na umpe za uhakika, akinuna au akicheka shauri yake! Na huyo mumeo umwambie!
 
NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,036
247
Nina rafiki kigeugeu,alafu hypocrate. And she's ma best friend.what should i do 2 avoid her?
hapo kwenye red:Kakupora ATM yako nini?Kwa nini ulimwonyesha ATM yako?Siku nyingine uwe unaenda pekee yako eeeh.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,376
6,999
They say'rafiki wa mwizi ni mwizi'...inawezekana kabisa na ww una tabia hizo za unayemwita best friend i.e ugeugeu na unafiki....sasa rafiki yako ni kama anataka kukurudi na wewe unaogopa kumwambia aache sababu na wewe umefanya mengi kama hayo....si unajua hata chama cha magamba wameshindwa kuonyana na kuambiana ukweli sababu lao ni moja.....sorry kama nimekukwaza
 
Nailyne

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
350
111
Yah she's my best friend coz she's always there 4 me i nid her.but the problem is this she want my husband.the other day she told me she want 2 use ma phone, imagine all she wanted is my hubby's no.my hubby sms me(coz he's nt here with me) and ask me why am i sending love sms using another no. Then i told him 2 send me the no. that sms him. Imagine i found out it was her no. That's why am askin u friends what 2 do with her

1;-mumeo ampigie simu huyo best yako amwambie hataki mawasiliano nae ya aina yeyote ile
2; wewe mwite huyo best wako mwambie unajua anachokifanya kwa mumeo na hujapenda, na aaache mara moja
3; na yeye si anamume chukua simu ya mumeo yenye hizo sms kamuonyeshe mume wake
4; achana nae she's nt worthy 2b ur friend
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom