Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake ambao wana vurugu za kindoa na hasa kufujwa na waume zao, huwa wanapoteza saa nyingi za kazi kwa kiasi cha asilimia 40 ukilinganisha na wanawake ambao ndoa zao hazina vurugu. Muda huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi urembo wa mwanamke uko wapi?? Mpaka sasa ninachanganyikiwa kutokana na mambo yafuatayo; 1.Wengi wanadhani ni sura(hawa hawanipi shida,wamepotea njia) 2.Wengine wanachukulia kuwa ni sehemu za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za Jumapili ndugu zangu wapendwa, nimekuwa najiuliza hili swala, kila mtu akiwa na upweke ana njia yake ya kuondoa upweke alionao na mimi pia huwa nina njia zangu za kuondoa upweke nilio...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Powerful Inspirational true story... Don't give up! When you don't give up... You cannot fail
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imenichukua muda kuisimulia hii hadithi iliyo ya kweli.. Nahisi ni mie mwenyewe katika dunia hii nilokumbwa na mkasa huu wa aibu na ambao sitausahau maishani.. Ama kweli sikusikia la mkuu na...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Yaani siku hizi wanawake wenye midevu iliyosababishwa na mikorogo si wa kutafutiza tena, maana wamejaa kibao. lakini kuna msemo wa long taimu unaosema "Black is Beauty" sasa kama kweli black is...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni saa mbili kasoro usiku mko sebuleni na watoto mnasubiri taarifa ya habari TBC mara linarushwa tangazo la biashara ya bidhaa za kinamama za kujisetiri.Tangazo linaanza mara oh inanyonya...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
wanaume tafadhali naombeni mawazo yenu ili nimsaidie mdogo wangu ushauri,hili mana mnaweza kuwa na mawazo ambayo ya ukweli mwingi zaidi, Hivi kweli ukiwa umekaa katika uhysiano kwa miaka 6 without...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nnimewahi kusikia kuwa mwanamke akifikia umri fulani hasa above 35 huwa anajua moja kwa moja iwapo kuna mwanaume around mwenye kumtamani au mwenye nia ya kumtongoza.......sijui ukweli wa hii kitu...
4 Reactions
104 Replies
8K Views
Wakuu,imekuwa ni kawaida kwa wanaume 2napopigiwa cmu na namba ambayo imekosea(wrong no) inapokuwa sauti ya kike...2natongoza hapo hapo na kupanga hata kuonana..wengine wanapenda sauti na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
MAEMBE YA KWETU MATAMU, YAKIDONDOKA YENYEWE! Maembe yalodondoka yenyewe Maembe yetu matamu, matamu yanipa hamu Ladha yake ni adimu, yana vigezo muhimu, Si machachu kama ndimu, yanataka...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Inaelezwa kwamba wanawake wa mjini ambao hawana simu, wanapoanzisha uhusiano na mwanaume ambaye ana simu, kauli ya, ‘kama ningekuwa na simu ingekuwa vizuri sana,’ hujitokeza. Kuna idadi kubwa ya...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Mimi ni kijana under 30yrs niko na ndoa 2 yrs now,ila tatizo linalonisumbua nahis nampunja mwenzangu japokuwa hakuwah kulalamika ila ckuwahi kumckia akisema,baaac imetosha.Tatizo langu ni kuwahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hofu nyingi kwa wanawake kudhani kwamba hawatapata wapenzi kwa sababu hawana matiti mazuri, hawana pua au midomo mizuri, hawana miili ya ‘Kizungu’, hawana mguu wa bia au hawana kiuno cha...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
This is a true story of Mother’s Sacrifice during the Japan Earthquake. After the Earthquake had subsided, when the rescuers reached the ruins of a young woman’s house, they saw her dead body...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ashakum si matusi Wahenga walisema mficha uchi hazai hili ndio naliepuka mm. ivi karibun nimejiona ninakasoro ktk majambozi ye2 ya ndani nikipiga moja2 sipand tena na hata nikijilazimisha itapanda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamani wana MMU kuna ndoa zomevunjika nimezishuhudia zaidi ya 3 na zote ukizisikiliza kesi zao nimwanaume kutokuwa mwaminifu yaani kuwa na nyumba ndogo au kutoka na wanawake tofauti tofauti nje ya...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
jamani marafiki naombeni mnisaaidie kwa hili?mods anabadilisha hizi title baada ya muda gani?maana mimi nimelala seniour member na kuamka leo expert
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom