Nasikia sauti.....

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
126
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
Kwani ulikuw ana muda gani hujaonana nae
na je kwa muda huo wote hujacheat
hujatamani
hujakiss
 
charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
126
Luck maria...ingekua wanaume wote waaminifu kama wewe na mchumba wangu..UKIMWI ungeisha kabisaaa.
najaribu tu mkuu. kila siku napiga sala na kuomba Mungu aniepushe. Najipa vikazi kibao wakati wa leisure. Nampa hongera mchumba wako pia
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,912
1,126
Hivi Kwani ni lazima m2 kuaga ktk jamvi kwa kila kitu? kwani uwepo wa m2 mmoja au kutokuwepo kunawaathiri nini ktk jamvi. Huu naona kama ulimbukini vile?
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
Kuna somo katoa unless hujamuelewa..

Mkuu naona Likwanda hajapata ujumbe hapo ndo maana
Na ujumbe uko wazi kabisa na nia sio kuaga
maana hakuna mtu anayemuaga mwenzake hapa
Ukichoka unajiondokea kimya kimya hata mwaka hakuna atakayekutafuta may be wale watu wako wa karibu
 
charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
126
Mkuu naona Likwanda hajapata ujumbe hapo ndo maana
Na ujumbe uko wazi kabisa na nia sio kuaga
maana hakuna mtu anayemuaga mwenzake hapa
Ukichoka unajiondokea kimya kimya hata mwaka hakuna atakayekutafuta may be wale watu wako wa karibu
asante mkuu. nadhani tunahitaji wengi kama wewe
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
asante mkuu. nadhani tunahitaji wengi kama wewe

Mkuu karibu sana
Unapoona topic read between the line kabla hujapost maana unaweza kuchemka mbaya ukajikuta unakuwa laughing stone
Hii topic ina ujumbe wake na ndo maana watu wamechangia na isingekuwa na maana watu wangeipotezea mazima
 
charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
126
Hivi Kwani ni lazima m2 kuaga ktk jamvi kwa kila kitu? kwani uwepo wa m2 mmoja au kutokuwepo kunawaathiri nini ktk jamvi. Huu naona kama ulimbukini vile?
samani Likwanda kama nimekukwanza. hata hivyo kwani kuwaaga wapendwa kuna tatizo gani?
 
King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,801
24,544
hapo kwa buluu, unamaanisha mpenzio/mwenza? for a second i wanted to say 'oh,there goes mommy's buoy!'

ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom