Itakuwa ndio mwanzo wa tatizo au mpito

chavka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
223
46
Ashakum si matusi Wahenga walisema mficha uchi hazai hili ndio naliepuka mm. ivi karibun nimejiona ninakasoro ktk majambozi ye2 ya ndani nikipiga moja2 sipand tena na hata nikijilazimisha itapanda itashuka. ila kipindi cha nyuma sikuwa hivyo nilikuwa nauwezo wa kuunga nisha moja kwa mbili then kutafuta latatu haikuwa tabu kabisa na haja ya nafsi yangu ilikuwa paka nitimize5 lkn hivi sasa sijielewi mpaka wife ananituhumu kuwa natoka nje ya ndoa. sijui nifanyeje na ktk ndoa nina miaka3 nisaidien wanajamii
 

chavka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
223
46
Nifundi computer na vifaa vingine vidogodogo na muda mwing kuwa kwenye mashine kwa kutengeneza software au web
 

chavka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
223
46
Kuna muda nahisi tatizo hili huenda limetokana na wife coz kipind kama cha miez miwili kila nikitaka mchezo anajifanya amechoka au anaumwa na mm sijuagi kumlazimisha mwanamke hususan mke hali hiyo ilikuwa kwamuda wa miez hyo na ikatokea kudo ndio ikawa hivyo najiona uwezo umepotea. mpaka now na sijawah kudo nje ya ndoa
 

MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
868
331
Kuna muda nahisi tatizo hili huenda limetokana na wife coz kipind kama cha miez miwili kila nikitaka mchezo anajifanya amechoka au anaumwa na mm sijuagi kumlazimisha mwanamke hususan mke hali hiyo ilikuwa kwamuda wa miez hyo na ikatokea kudo ndio ikawa hivyo najiona uwezo umepotea. mpaka now na sijawah kudo nje ya ndoa

Mahusiano yenu ndani ya ndoa sio mazuri. kutokana na hilo mapenzi yamepwaya. Hamu tena huna.
Nadhani huna shida yeyote. Ingekuwa si haramu ningekushauri upige mechi ya ugenini kujipima uwezo..
 

MyTz

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
333
62
mkuu nafikiri uko sahihi...hiyo ya kunyimwa ushirikiano ni moja ya 7bu inayochangia kupunguza mizunguko!!
niliulizia nature ya kazi, koz ukiwa bze sana na mambo mengi kichwani huchangia hupunguza/kupoteza utayari wa ku do hiyo kitu....
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
Just haya ni matatizo tuu ya muda na nafikiri inachangiwa na hali ya mkeo kutokuwa tayari wakati wewe unahitaji
Kaa na mkeo na mhamasishe kwenye kupenda hiyo na wanasema jaribu kuamsha hisia zake ambazo inaonekana zimepungua na wewe mwenyewe umepoteza ile hamu ya kufanya hiyo kitu
Na vile vile jaribu kupunguza msongo wa mawazo
Andaa akili yako na mawazo yako kufanya kile kitendo na jiweke kwenye hiyo hali kwa muda
Kama ulikuw aunaweza kwenda round zako nzuri usiwe na wasiw asi utarudi tuu maana ni tatizo la muda
 

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Angalia vyakula unavyotumia sio wail kila kukicha pata vyakula kama ugali piga kitimoto protein kwa wingi like karanga usisahau tangawizi ktk chai wiki mfululizo then anza kuenjoy upyaaa malovlov chakula tu chatosha
 

Kijuche

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
418
35
Fanya mazoezi ya kutosha na misosi ya maana sio chipsi na mayai ya voda fasta.
 

Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
122
fanya mazoezi, kula vyakula vya maana, usisahau karanga, korosho, ka vp muone dokta ndodi
 

chavka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
223
46
Shukrani wanajamii kwa ushauri wenu ila kuhusu chakula namshukuru mungu napata wa uhakika na hz chips mayai huwa hazipand kama chakula kwangu nazionaga kama sex food huwa nikisha kandamiz dona ndio naweza pata chips.pili kuhusu kutokuwa teyari ili naweza kukiri kweli na sikuhisi kama huenda likawa tatizo. nikweli kwasasa hata akiniambia anataka sina maandaliz kama yale ya mwanzo na hamu kubwa ya mwili inakxa haipo temp imekuwa ndogo sana. nashukuru tena na tena na nitafanyia kazi. japo napenda kusema hili nilisha wah kumuhoji kuhusu swala hili alicho jitetea ni kwamba hawez kunipa kama 2livyokuwa mahawara coz kuna kipindi alikuwa akinawa anahisi kama kuna sugu flani kule mahala so ndio maana ameamua hivyo ili nisimwaribu kwa baadae kukosa mwenza ima nikifa au 2kiachana
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom