Warembo wa JF, natafuta mpenzi for a long lasting relationship. Mwenye sifa zifuatazo atapewa kipaumbele:
Education: Above form 6
Sura: Awe na sura ya kike
Rangi: Mweupe...
Kuna wale ambao hawako tayari kutoka kwenye uhusiano mgumu kwa sababu ya mali. Wanaogopa watagawana mali na wenzao, jambo ambalo hawako tayari kulifanya na mara nyingi hawa ni wanaume. Wapo pia...
"Baba na mama nashukuruni sana kwa mda wote ambao tumekua pamoja,
najua nimewakosea na kuwadhalilisha sana,ila pamoja na kuondoka kwangu naombeni mnisamehe.
Nitawakumbuka siku zote ntakazo kuwa...
Hebu tujiulize je ni kweli dhana ya ndoa ni kufanya mapenzi? Jibu ni siyo kweli hata kidogo. Hebu tujiulize tena baada ya kuoana na kuishi kwenye ndoa kwa muda fulani wake au waume zetu wakapata...
Naomba ushauri. Baba yangu ana umri wa miaka 65 ametuzaa watoto 12. mtoto wa mwisho ana miaka 27. Lakini Baba ameamua kuzaa na binti (sio mama yetu au mama zetu) mwenye miaka 28. Jamani huyo mtoto...
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na...
...Emotional Roller Coaster,...are you enjoying the ride or suffering?
emotional rollercoaster
Term first used by R&B singer Vivian Green in her 2002 single "Emotional Rollercoaster" from...
Mwanzo.2:24 inasema, "Kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" Ukiangalia (Zaburi.45:10-11) anasema, "Sikia binti utazame utege sikio...
Habari za mchana kina kaka /dada /mama/baba
Just wanna know y'all opinions! There is a lot of pressure mostly especially Tanzania or african women to get married before they turn 25 age . Is too...
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always
Few months ago, I fell in love with a certain young lady. Our love lasted just for three months before I was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned...
Wapendwa marafiki zangu wana jf, naombeni mnijuze haya mambo kwenye mapenzi yanakuaje ni hivi kuna wasichana wana wapenzi wao lakini wana mabuzi cha ajabu wanaweza kuwahendo wote na wapenzi wao...
Hii ni kuwakumbusha tu wale ambao bado wako wanagoogle jamani mke mwema
mwenzeni nilikutana na dada mmoja wa exim enzi hizo zijui yuko wapi siku hizi
mzuri anaumbo bashasha ilipofika siku ya...
wakuu,
Kuna msicha kutoka Bhutan (Asia) nilikutana nae mwaka 2008 chuoni (India) nikiwa mwaka wa pili yeye ndio alikua anaanza wa kwanza. Tulifahamiana kupitia kwa rafiki yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.