wanaume mnalionaje hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume mnalionaje hili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mishalta, Sep 24, 2011.

 1. M

  Mishalta New Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaume tafadhali naombeni mawazo yenu ili nimsaidie mdogo wangu ushauri,hili mana mnaweza kuwa na mawazo ambayo ya ukweli mwingi zaidi,
  Hivi kweli ukiwa umekaa katika uhysiano kwa miaka 6 without a legal marriage, na kubahatika kupata mtoto, lakini kila unapomweleza mwenzako kuhusu kufunga ndoa mana nyie ni wakristo makae katika mazangira ya imani yenu, anakuwa mkali na kuanza kuongelea makosa ya nyuma,na kila mkikoseana hata jambo dogo ni inakuwa
  ugomvi mkubwa na kukwambia paki uondoke. siku ukiwa mmekaa kwa amani unajaribu kumwambia unaona hana future na wewe ni bora muachane anasema umepata wanaume wanakupa kiburi, hapo wanaume mnalionaje hilo?
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo ndoa ya nini mkuu? Si dalili ya mvua umeshayaona mawingu? yanini kujiingiza kwenye moto huku ukiwa na macho yote mawili? Hakuna penzi hapo tuache mapenzi ya kulazimisha.
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  ye ndo kapata mke mwngne ndo anampa kiburi kama vip awe down ili aweze kupanga nae juu ya kumlea mtoto huku anatafuta upenyo wa kukimbia kama matatizo yanazidi.
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mpe pole mdogo wako, kwa kifupi hapo hamna mapeni tena, keshakuchoka ila ndo anashindwa kukwambia
   
 5. K

  KISABENGO Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nna matatzo kama hayo'inaezekana bint hana uhakika na jamaa haswaa future tena maisha mazuri'cyo ubabaishaji;na muda nao wamtupa mkono anayemtaka hatokei'upande jamaa nae hajiamini pia'.
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkiishi miaka sita tayari serikalini mna chukuliwa kama mume/mke labda kidini,halafu mtu anaongelea future gani ni mmeshaishi miaka sita na mtoto mnaye ? kwanini unalazimishe ndoa na umeshaona hapafai na ulikosea kuingia choo cha jinsia tofauti ? hapa ni kuangalia usalama/malezi ya mtoto na kama mhusika anafanya kazi nzuri ahame na kumlea mtoto hapo hamna mume.
   
 7. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tatizo ni kwamba huyo mwenziwako hana imani ,kuna jambo umefanya au ulifanya amblo lina mtia shaka kuweza kufunga pingu za maisha na wewe .jaribu kuangalia ni nini, kama huliona jiulize nini unataka, je ndoa kwako ni jambo la msingi zaidi, je future ya mtoto wenu itakuaje, utakapo pata majibu hayo fanya uamuzi unao ona una kufaa, maana kw amtizamo wa haraka hapo ndoa sio muhimu kwako maana huyo mwenzio hana mapenzi ya dhati kwako na nachokiona ku force ndoa kitu ambacho kitakugharimu sana ..
   
 8. M

  Mishalta New Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hataa mimi nimekua namwambia hivo ila dogo akiwaza walipo toka na jamaa ina muuma sana,sasa ndo mambo yameanza kuwanyookea walitoka chuo pamoja hawana hata kitanda.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ndege wanaofanana huruka pamoja, kadhalika na Wanyama wanaofanana huenda pamoja. Nitamshangaa huyo dada kama anatumia nguvu na akili zake mwenyewe! Kama kweli yeye ni Mkristo kwanini anahangaika hivyo? Mwambie apige magoti, asali na kufunga, atashangaa jamaa atamwambia mwenyewe wakapashe kiporo! Vinginevyo nimwambie tu kwamba Ndege wanaofanana huruka pamoja, kadhalika Wanyama wanaofanana huenda pamoja, sasa ninachokiona hapo ni kwamba kuna mbuzi na kondoo.
   
Loading...