Title zinakujaje?

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,157
jamani marafiki naombeni mnisaaidie kwa hili?mods anabadilisha hizi title baada ya muda gani?maana mimi nimelala seniour member na kuamka leo expert
 
Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
97
Tusubirie wanaojuwa ila na mm nipenda nielezwe kuhusu hii rep power, ukiingia kidogo tu unapewa 21 ila kuongezeka ndo inakuwa shuhuli, inakuaje?
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,317
18,708
hiyo inabadilika kutokana na idadi ya post zako.....umeelewa...?
 
mjasiria

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
4,156
1,829
hiyo inabadilika kutokana na idadi ya post zako.....umeelewa...?
Naomba utupe mchanganuo mzima. Kama vile labda ukifikisha post 10 unakuwa senior au ukifikisha post 50 unakuwa expert na kuendelea.
 
HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
695
cha ajabu kuna mtu anapost 5000 ni jf expert member wakati kuna m2 ana post 2000 ni jf premium member. mwongozo jamani
 
Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
cha ajabu kuna mtu anapost 5000 ni jf expert member wakati kuna m2 ana post 2000 ni jf premium member. mwongozo jamani

Hazole kuwa JF Premium Member haijalishi unapost ngapi ila hawa jamaa wanakuwa wamechangia kifedha kuboresha JF. Tunakaribisha mchango wako wa kifedha tutashukuru maana pia kuwa na sifa ya mwekezaji...unakuwa uko nyumbani zaidi. Shukrani.
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,708
5,613
cha ajabu kuna mtu anapost 5000 ni jf expert member wakati kuna m2 ana post 2000 ni jf premium member. mwongozo jamani

Status zinabadilika kulingana na idadi ya posts zako isipokuwa hiyo ya 'Premium member' mpaka uchangie njuluku regardless of ur posts!
 
Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
97
Hazole kuwa JF Premium Member haijalishi unapost ngapi ila hawa jamaa wanakuwa wamechangia kifedha kuboresha JF. Tunakaribisha mchango wako wa kifedha tutashukuru maana pia kuwa na sifa ya mwekezaji...unakuwa uko nyumbani zaidi. Shukrani.

tena anaweza kupata na bold.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom