HI wana jamvi ni kipindi kirefu kidogo sana nilikuwa mabali kidogo na ninyi dungu zangu, ila niko safi na pia matumaini na ninyi mpo safi pia
tatizo langu linalonofanya niwaze kwa sana ni kuwa...
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko...
Sio mimi Mtambuzi, bali hata utafiti uliowahi kuripotiwa kwenye jaridala That's Life! ambalo huaminika kwa kuandika habari za wanawake ulithibitisha juu ya jambo hili.
Imebainika kwamba, wanawake...
Wapendwa
Ni matumaini yangu mlikuwa na weekend yenye Baraka.
Mimi wiki hii MwanajamiiOne nimeianza kwa uchungu huku machozi yakinitiririka barabarani asubuhi wakati nakuja kibaruani. Kwenye...
Wana JF, imekaaje hii? Kuna baadhi ya wanadoa waliopima na kuonekana negative wakati wa kufungishwa ndoa, lakini in a long run, wanpima na kupatika wakiwa HIV postive. Hawa virus wanakuwa wametoka...
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi...
Bwana yesu asifiwe wapendwa
habarini za jumapili ..natumaini mmerudi salama toka kanisani,mlioshindwa mungu awawezeshe wiki ijayo kuwepo madhabahuni..nimewiwa kukumbushana jambo hili si jipya bali...
Natumaini wote mu wazima wa afya njema. Mie mzima kama jiwe nadunda maisha kwa raha zangu.
Nimewaza sana kulingana na hali ya maisha ya sasa na jinsi mambo yanavyendelea kubadilika nikaona ngoja...
Kabla hatujaoana nilikuwa nafanya sana mazoezi kwa ajili ya kujiweka fit na ili niwe na mivuto hasa kwa wasichana na wavulana wavivu wanaotamani miili ya wenzao wafanya mazoezi huku wao...
Juzi siku ya Ijumaa ya tarehe 23/9/2011 usiku katika kipindi cha Kipima Joto cha ITV kilichokuwa kikiongozwa na Reinfred Masako, mmoja wa wachangiaji katika mjadala huo mama Rehema Mwateba kutoka...
Rafiki yangu ana galfrd wake ambae wamedumu nae kwa takribani mwaka sasa,jamaa alikua na mipango mizuri sana kumhusu huyu dada lakni imetokea jamaa kabadilika ghafla baada ya yule mdada kumwambia...
Nadhani watu wengi hawajadhani na kuona umuhimu wa jambo hili...
Kila siku inapoanza (hasa za kazi kwa sisi wafanyakazi) tuna masaa mengi ya kututenga na wapenzi wetu kwa zile shughuli na pilika...
Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa...
Stor inaanzia miaka zaid ya 20 iliyopita ambapo wawili hawa wote wakiwa watumishi katika shirika moja, walikuwa katika mahusiano yaliyofikia stage ya uchumba na kutambulishana nyumbani. Kwa sababu...
Wana MMU habari za weekend?
Nimeona nianzishe Uzi huu baada ya The Finest kunitafakurisha kwenye Uzi wake "what make u stay"
Ni mara nyingi sana kwa kwa baadhi ya waume kupiga wake zao naomba...
Wanawake ambao wana vurugu za kindoa na hasa kufujwa na waume zao, huwa wanapoteza saa nyingi za kazi kwa kiasi cha asilimia 40 ukilinganisha na wanawake ambao ndoa zao hazina vurugu. Muda huo...
Hivi urembo wa mwanamke uko wapi??
Mpaka sasa ninachanganyikiwa kutokana na mambo yafuatayo;
1.Wengi wanadhani ni sura(hawa hawanipi shida,wamepotea njia)
2.Wengine wanachukulia kuwa ni sehemu za...
Habari za Jumapili ndugu zangu wapendwa, nimekuwa najiuliza hili swala,
kila mtu akiwa na upweke ana njia yake ya kuondoa upweke alionao
na mimi pia huwa nina njia zangu za kuondoa upweke nilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.