Kuwasoma watu their 'body language' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwasoma watu their 'body language'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Sep 20, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nnimewahi kusikia kuwa mwanamke akifikia umri fulani hasa above 35

  huwa anajua moja kwa moja iwapo kuna mwanaume around mwenye kumtamani
  au mwenye nia ya kumtongoza.......sijui ukweli wa hii kitu ukoje.....

  nimekuwa najiuliza inawezekana mwanaume ukawa unamtamani mwanamke

  ambae unakutana nae kwenye shughuli zako bila yeye kujua kabisa?

  ni kweli kuwa wanawake ndo best kwenye kusoma body language kuliko wanaume?

  wapo kweli wanaokutwa na mshangao wanapotokewa au ni uwongo????????/
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hili mi naona wanaume wengi huwa wanajistukia wakati wanatongoza ndio maana inakuwa rahisi kukugundua..
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Boss,wanawake wana intuition ni balaaa,wengi (actualy karibia wote) ukimdanganya anakuangalia tu lakini rohoni anajua unamfunga kamba.Kwa hiyo hata ukimtokea mdada wengi huwa wanajua hata kabla hujamtamkia neno.Umri? Well the older the wine of course the better.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ulichoongea kimenigusa
  chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani
  halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba
  je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Interesting observation
   
 6. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huu ni ukweli Boss wengi tuna hiyo kitu mtu akiwa anakuja mbele yako hata hajakuambia jambo unaweza kuhisi alitaka kukuambia nini au aliwaza jambo gani juu yako hata pale mnapotudanganya huwa tunajua sema tu mara nyingi huwa tunaamua kupotezea.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ndo maana nikauliza hapo
  mfano ni wewe,kila siku nakutazama kwa matamanio
  je utajua?na kama jibu unajua,ikitokea kwa mfano
  nakuta sms yako ya kawaida tu kwenye simu..
  ina maana ndo umefungua mlango?
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio maana yake,anakutengenezea mazingira ya kupata ukweli wa kile alichokihisi lakini mara nyingi ukiona hayo ujue kuna mambo yanayomvuta kwako ............wengi wetu baada ya kuhisi kama ni mtu ambae hajafanana na vigezo vya mhusika hawezi mpa hata nafasi ya kumzoea.


   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  interesting........
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  not necessarily awe anakutafutia urahisi. kuna wanawake they just like flirting, ama they just like company. kuna friends ambao mwanamke ana-flirt nao for a while lakini beyond that anakua anaongea nao issues za maana. dont mistaken friendship ama softness ya mwanamke with kukutaka,u will be embarrassed! kuna watu wana macho tu ya wizi naturally,unaweza dhani ni bode lengueji kumbe wala!

   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  yaaani,but what if hakuna mazoea kabisa...
  ni salaaam tu,but macho yanasema kila kitu
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hayo mambo yanayoweza kumvutia mdada kwa mkaka flani sio lazima yawe sexually related. kuna mkaka anakuvutia intellectually tu,ana idea za kupigana kimaisha za kutosha. ama za biashara. u can laugh and release stress, and talk business na kuachana. mwingine ni mzuri kwa mambo ya dini,atakutia moyo na kukupa muongozo. au issues za shule.the list is endless...

   
 13. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mi nikimtamani mwanamke atajua tu! Coz kila nikimuona macho yangu siyabandui kifuani au hapo kwenye mashine yake! Na nikipishana nae lazima nimgeukie nitizame plate number!
   
 14. Nailyne

  Nailyne JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  the Boss.. kama unamzimia huyo mdada jilipue tuu,ukikataliwa si basi ndio uanaume huo....haitaji kuwa 35 ndio mwanamke aweze kujua kama mwanaume anakutaka au la. itabidi nianze reseach ili nikifika 35 nijue kama hako ka intuition kameongezeka au laa....
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ndo nakuambia kuna watu wana big beautiful eyes,lol! ni kama mkaka ambae yuko kind, good physique etc. ni kumuonea kudhani anakuzimikia,right? afu unajua kuna watu kukodolea macho watu ni kawaida yake? well, ukiingiza utani unaweza ukaishia kwenye niangusage, sambi sako! so nadhani ni vizuri kuongea zaidi na utamsoma tu mwelekeo wa mawazo yake

   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  yaani kuna mtu anaweza kukodolea hadi ukadhani umesahau kufunga zipu ama vifungo vya blouse vimekatika? AshaDii sijui yuko wapi anisaidie na mijicho kodoo!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ukiona mpaka nauliza ujue kuna kitu complicated...hapo...
  A small mistake can cost me dearly..lol
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  what if huyo mtu hana mazoea kabisa na watu watu
  but kwangu tu ndo anakuwa a bit social?
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hahaha,ww umepania kujilipua! angalia usije ukaangukia pua,lol! inawezekana hana mazoea na watu kwa kile chauro ameongelea,'kuvutiwa'. jiweke karibu, piga nae stori za future, get to know her uone mtafika wapi. ukimchokoza once in a while unaweza kuona kama kuna ka-yellow light ili ikiwaka reen tu unajilipua mzima,lol! dont listen to me,im crazy
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nimekwambia its complicated hapo
  what if she is married and older than me?????
   
Loading...