Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke asipokuwa mwangalifu wakati akimuomba mwanaume amsaidie jambo, anaweza kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa ni njia au chanzo kizuri kwa ndoa kusambaratika. Kuna aina ya uombaji ambayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta girlfriend serious, mcheshi, mwenye hekima, anamjua Mungu.. Umri kuanzia miaka 20-26.. Nickname isiwatishe ni funny name.. Naishi Mikocheni A, elimu yangu ya Chuo.. Aliye tayari...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Nina shaka sana, kwani WANA JF, huyu Rostam, kwenye speech yake toka.. matukio-michuzi: kauli ya mbunge wa igunga Mh Rostam Aziz wakati akijiuzulu leo, si ndiye aliyesema siasa ndani ya ccM ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf, Natumaini weekend imeanza vyema. Kwa hivi karibuni nimekuwa nikifanya utafiti binafsi juu ya mahusiano nikagundua kwamba wanawake, hasa wanachuo wanadanganyika sana kwa sababu wengi wapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii nukuu imenikumbesha zile siku za balehe, karibuni msome na kutoa maoni yenu. As I sat there in English class, I stared at the girl next to me. She was my so called "best friend". I stared at...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Eti jamani, kama tumejaliwa tuna kanyumba kako compicated kiasi, tuseme kama ka EL kule monduli, tukiajiri house cleaners kadhaa, wakisafisha nyumba nzima akuwa vibaya? namaanisha vyumba vyote...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Sasaiv kamezuka kamtindo eti pale unapomtongoza dem au unataka awe mpenz wako,then unamuuliza ka ana boy anakwambia yupo na tena anasoma nje ya nchi huko U.K. au marekani,then unafanya upelelez...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Ukishangaa ya Maksimo ya Paulsen yatakukuta... ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye wapangaji 4 wote wakiwa katika ndoa isipokuwa mimi. kuna rafiki yangu ambaye mara nyingi anafika kwangu hasa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
jamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu. Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
habari,naomba ushauri wenu jaman,npo mapenzini mwaka sasa lkn nashndwa kumsoma mwenzangu,nisipomtafuta bac wiki litapita hajantafuta na akijitahd cku nne,nikimwandikia sms hajbu akjtahd short...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kuna wanaume kwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wanavyoishi maofisini laiti wenza wao wangekuwa karibu nahisi asilimia nyingi wangekuwa juu ya kitanzi cha ndoa. Kuna watu maofisini wake kwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mara nyingi tunaangalia mbele na kusema "sijafanya chochote maana ninapo enda ni mbali sana" Week iliyopita nilikutana na class mates wangu tulio maliza wote darasa la saba (LY,haha)...
2 Reactions
168 Replies
11K Views
vijana wenzangu wa kitanzania natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo kama upo tayari find me @ +255718656164 or ckundawa@hotmail.com
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salam wana JF, jamani naomba mnisaidie , kuna mafuta ta kuchua( masaji) hivi ukiyataka yanaitwaje........? je ndio yale pia hutumika ktk suala la ngono (kumlainisha mwenzi wako) akawa anameremeta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau vp naomba kujua sifa za hawa wanawake wa mtwara wanafahamika vp kimapenzi?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!! Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi...
0 Reactions
70 Replies
15K Views
Back
Top Bottom