Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,224
Yaani siku hizi wanawake wenye midevu iliyosababishwa na mikorogo si wa kutafutiza tena, maana wamejaa kibao. lakini kuna msemo wa long taimu unaosema "Black is Beauty" sasa kama kweli black is beauty kwa nini dada zetu wanahangaika na Mikorogo hadi ya JIK?