Ewe mwanaume ukioa mwanamke:
Mrefu, jua kwamba utaoa mwanamke mpenda maendeleo, mchapa kazi na mkarimu ila hawajui mapenzi na ni wavivu kujiweka safi kimazingira.
Mfupi kiasi, jua ya kwamba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Toka uzaliwe baadae ukawa unaota maruweruwe unamuona dada yako anakujia usiku, umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni...
Ndugu wana nzengo nawasalim,
Wiki mbili au zaidi zilizopita, niliwaeleza kuhusu binti ambae mama alikuja nae kwenye uzi huu: Mama kaniletea mke kutoka kijijini bila ridhaa yangu, nifanyeje?
Kwa...
ACHA KUJIPIMA KWA UBIZE ULIONAO JIPIME KWA KILE UNACHOZALISHA
Kuwa bize na kuzalisha ni vitu viwili tofauti kabisa.Mara nyingi wale wanaoonekana kuwa bize sana huwa wanakuwa na uzalishaji mdogo...
Habari za juma pili wadau
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia...
USIWE MUONGEAJI SANA KUNA KIPINDI UNATAKIWA KUSIKILIZA
Katika jambo lolote lile, yule anayeongea sana ndiye anayepoteza.
Iwe ni kwenye kufikiana makubaliano au hata kwenye biashara, anayeongea...
Rafiki yeyote wa kike anayejihisi kuwa rafiki mzuri anakaribishwa. Any age, nia ni kuchat na kubadilishana mawazo, you are welcome.
Ni PM nikupe no zangu.
Jana nikiwa kwenye mizunguko nikaitwa na mama mwenye nyumba wa shoga yake mke wangu,akaniambia hivi mahusiano kati ya mke wangu na huyu mpangaji wake yapo?
Nikaituma yes akaniambia alikuja juzi...
Kama kichwa kijielezavyo.
Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 23 sasa hivi nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu UDSM -undergraduate.
Baada ya mama kufariki, nimeishi bila mama hivyo basi natafuta...
Mmeamkaje wanajukwaa?
NUKUU; Mimi ni mvulana mwenye miaka 21 na nimeanza kujihusisha na masuala ya mapenzi nikiwa na umri wa miaka 19.
Nimekuwa mzoefu kuhusu mapenzi.
Lakini kuna jambo ambalo...
Wapendwa habarini za kwenu.
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tunashuhudia matendo ya ajabu ambayo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa wanandoa. Wanandoa wengi wa kike wamekuwa wakilalamikiwa kuwa na...
Alishawahi kuniambia kwamba mwaka huu atafanya kila awezalo nisiendelee na kazi yaani mkataba wangu wa kazi usitishwe, ilikuwa bado kidogo kweli usitishwe.
Lakini nikatumia plan B namshukuru...
Stori yenyewe ipo hivi,
Nina rafiki yangu ambaye tunaheshimiana sana na tunaishi mtaa mmoja mara kwa mara amekuwa akisafiri kibiashara, sasa hivi karibuni alikuwa amesafiri akawa anapiga simu ya...
I greet you all
Nimesoma kwa makini gazeti la Mwananchi toleo la jumapili 21/02/2016
utafiti wao wanadai Baadhi yawanawake
wametoa taarifa kwa watafiti wa Mwananchi kuwa wanapenda bodaboda...
Asalaam Alaikum wanajamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Tunajua akina dada wengi hutilia maanani suala la kupendezesha nywele zao.
Hakuna ubaya wa hilo ila tatizo huja pale wanapokuwa...
Swali langu ni kuwa kwanini wadada wa Bongo Movies na madada wengi wa mjini kamwe huwezi kuta waatoka na matajiri wa hapa Bongo.
maana hapa Bongo tuna MATAJIRI NA WAFANYABIASHARA
Sasa mie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.