wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Alishawahi kuniambia kwamba mwaka huu atafanya kila awezalo nisiendelee na kazi yaani mkataba wangu wa kazi usitishwe, ilikuwa bado kidogo kweli usitishwe.
Lakini nikatumia plan B namshukuru Mungu nikafanikiwa mbali na hayo huwa anapenda sana kumtukana mama yangu vyote hivyo kanifanyia mie kwasababu nilimpa nafasi anizoee.
Sasa nimeamua kumpotezea analalamika maana sitaki hata mkono wangu auguse maana namuona kama nuksi.