Hello watz mpooooooo!
Nani kati ya simba na yanga leo?
Back to my main thread.
Humu kuna wataalamu wakuchambua na kudadavua mambo, hebu nambieni ni kwanini baadhi ya wanawake wanapendelea...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya.
Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja...
Binadamu kukosea katika maisha ni jambo la kawaida sana. Binafsi naamini asiyekosea ni yule asiyefanya lolote. Japo hilo haliwezekani kwani usipofanya kwa vitendo basi utakosea kwa maneno tu...
Nimeipata hii wanajamvi mwasemaje:
" BUSARA ZA BABA ...
Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama...
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.
Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu...
Toka tumwagane na kipenzi changu .napata wasichana wengine lakini nashangaa nakuwa sina mzuka nao !sometimes siku mbili zina pita siwatafuti wakishoboka nawa ambia simu mbovu. Lakini kwa kipenzi...
Wadau tangu wife ameanza kazi wametokea maharamia wengi wa mapenzi mtaani kwetu wenye kutumia gari kutaka kuchota mama watoto wangu
Sasa nina ka milion tano nahitaji japo passo au vits ya mkononi...
Wanajamvi,
Habari za jumanne.?
Pamoja na umri wangu kuwa umesonga,lkn kiukweli sijawahi kuthibitishiwa popote kuhusu hili suala,pengine labda kutokana na mazingira niliyokulia.
Naamini hapa...
Habari zenu MMU,
Ni wiki sasa imepata tangu nilipoleta hapa jamvini thread ya kuomba ushauri
Nimempa ujauzito mwanafunzi mwenzangu, naomba ushauri asanteni kwa ushauri wenu pia na kejeli pia...
Miezi 10 iliyopita niliamua kufanyiwa uzazi wa mpango kwa kutumia ile njia ijulikanayo kwa jina la VASECTOMY. Hii ni baada ya kuona mwenzangu 'hesabu' zimemshinda kabisa. Nikaona ili kuepuka...
Habari JF,
Nashindwa kuelewa labda nina bahati mbaya,kila mwanamke ninayempata yupo kwa ajili ya kuomba pesa,hata kama nimempenda ghafla upendo unaisha.
Mfano tumefahamiana leo kesho anatuma sms...
Mjini kuna kina dada wamegundua mbinu mpya ya kitangaza biashara yao ya umalaya/ukahaba kwa njia ya mitandao.
Kuna msemo usemao kila mwanamke ni malaya by default isipokua mama yako, lakini kuna...
Habari zenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana ambaye nilikua kwenye mahusiano na msichana mmoja ambaye kwa sasa ni mwanachuo wa chuo kikuu cha Mzumbe.
Uhusiano wetu ulidum kwa miaka miwili lakini...
Ewe mwanaume ukioa mwanamke:
Mrefu, jua kwamba utaoa mwanamke mpenda maendeleo, mchapa kazi na mkarimu ila hawajui mapenzi na ni wavivu kujiweka safi kimazingira.
Mfupi kiasi, jua ya kwamba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Toka uzaliwe baadae ukawa unaota maruweruwe unamuona dada yako anakujia usiku, umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni...
Ndugu wana nzengo nawasalim,
Wiki mbili au zaidi zilizopita, niliwaeleza kuhusu binti ambae mama alikuja nae kwenye uzi huu: Mama kaniletea mke kutoka kijijini bila ridhaa yangu, nifanyeje?
Kwa...
ACHA KUJIPIMA KWA UBIZE ULIONAO JIPIME KWA KILE UNACHOZALISHA
Kuwa bize na kuzalisha ni vitu viwili tofauti kabisa.Mara nyingi wale wanaoonekana kuwa bize sana huwa wanakuwa na uzalishaji mdogo...
Habari za juma pili wadau
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.