Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso: 1. Asprin 2. FirstLady...
0 Reactions
107 Replies
10K Views
Leo nimetumiwa barua pepe na rafiki yangu mmoja wa kike, content ya barua pepe hiyo ilikuwa ni jinsi gani ya kuwa mwanaume ambaye anaweza kuvutia kila mwanamke.., nimeona ni vyema kushare nanyi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau wa JF mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30,natafuta mchumba ambaye atakuwa mama watoto wangu,kiwango changu cha elimu ni Degree. Mchumba/Mwanamke ninae muhitaji awe na sifa zifuatavyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wadau. Mimi nimeoa miaka miwili iliyopita na nina mpenda sana mke wangu. Tatizo ni kwamba ninapofanya mapenzi na mwanamke wa nje naenjoi zaidi kuliko mke wangu. Yani ile package...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Naandika mawazo yangu haya kama ni yana kasoro sana naruhusu nyongeza na kurekebishwa, tulio kwenye mahusiano ya ndoa endapo hamna zile shida kubwa sana zinazotuharibu. Tujitulize tu kwa sababu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
MPO? Je ulijua kwamba, Wanandoa wanaogegedana mara moja au mbili kwa wiki ndio wenye furaha? Na ulijua kuwa, Kugegedana kila siku sio thibitisho la ndoa yenye raha!! Kugegeda kila siku...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii, nakupeni story fupi ya maisha yangu, mwaka wa pili baada ya kuzaa na mke wangu,aliniambia kuwa hataweza kuishi na mimi kwa kuwa sina kipato kizuri,akaondoka na kuniachia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Fashion magazine wamesema watu wangu wana nguo nyingi viatu lakini chupi wanazo 2 nyeusi na nyekundu. Watu wengi hawapendi kununua chupi. Kwanini watu wangu hawapendi kununua chupi? We una...
0 Reactions
156 Replies
16K Views
Jana tu jioni,(kwa wale wa Tanzania) nilivyotoka ofisini nikiwa natafakari ishu ya mwana jamii one nikapitia mitaa flani ya kati. nikakutana na dada mmoja ana duka la nguo, alikuwa very upset...
0 Reactions
251 Replies
19K Views
Mpo wanajamii? Nimekuja kivingine. Imebainika kwamba wanandoa kugegedana kila siku sio suluhisho la furaha kwenye ndoa. Asilimia kubwa ya wanandoa wanaogegedana mara moja au mbili ndio wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
As usual, hutaki unaacha, i dare to post thread openly. Umeshawahi kusikia kuwa maaskari (polisi, magereza na wanajeshi)..? Lakini hao maaskari bado unakuta wakitongozwa na maaskari...
5 Reactions
190 Replies
24K Views
WAKUBWA! katika maisha ya mapenzi,malavidavi na mashamsham yote,lipo swala a UPANDE WA PILI WA MAISHA YA MAPENZI......!which is KUACHA,na KUACHWA. Ninayo imani kwamba matukio haya mawili yana...
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Habar Mimi ni kjana mwenye umr wa miaka 25.. Pia ni mwajiriwa wa serikalin ni mwalim shule ya msing ambaye nimeanza kaz mwaka 2014 Natafuta mchumba mwenye sifa zifyatazo; 1;Awe muislam 2; umr...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna swala mmoja lasumbua wanaume sana kwanza nililipata kipindi nipo kwenye mahusiano ya GF na kuona kwa marafiki zangu pia. Kwanini Mwanamke yeye inakuwa ni vigumu sana ku reply msgs...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Please naomba ushauri haswa kutoka kwa wale walio kwenye ndoa. How do u deal with finances kama nyote mna mapato...inakuwaje ndio musiingize migogoro coz of money issues??? u know wansema money...
0 Reactions
164 Replies
13K Views
Habari wanaJF, Ninampenzi wangu nampenda na nikonae for almost 5 years now. Ni mrembo sana, tunaendana na najitahidi kufanya everything a woman deserves. Ila... Tatizo kubwa ni kila ninapokuwa...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari wadau bila shaka mu wazima katika ubora wenu. Nimekuja humu angalau nipate mwanga naona stress zimenizidi umri wangu. Nimeshakua kwenye mahusiano na watu chini ya tano kama sikosea kwa...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Everything I do I win. It is because of God I win For the crushes I win it is God I win Foe am not robbed while my neighbors are robbed… it is God I win For the deals that earn lump sum money …...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini, Nimeona mahali makala inayojaribu kuangalia sababu zinazolekea mahusiano, hasa ya wakati huu tuliopo, yasivyodumu na jinsi inavyokuwa rahisi kwetu kuyavunja. 1. Hakuna utayari. Upweke...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Hellow, Nimekuwa nikiona threads nyingi zinajitokeza humu mmu za wanaume wakilalamika mara demu flani nahisi ananichuna, mara flani mbona kaniacha, mara wanawake hawana shukrani, kumbe sometimes...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom