Jana nikiwa kwenye mizunguko nikaitwa na mama mwenye nyumba wa shoga yake mke wangu,akaniambia hivi mahusiano kati ya mke wangu na huyu mpangaji wake yapo?
Nikaituma yes akaniambia alikuja juzi na chakula, yaani mchele, unga, sukari, na n.k akidai anavichukua kwako lakin kwa kubeza eti Mali za matajiri huliwa hivi make huwa hawana shukrani.
Jambo hilo lilinisonenesha sana ikabidi nijaribu kuwaulizia baada ya majiran maneno yakawa yaleyale, nilipofika home nikamuomba mke wangu tukae tuongee na nikamwambia kwa upole kabisa kwamba huyu rafiki yako anakusema maneno ambayo sio mazuri mtaani hivyo kuwa makin naye.
Kabla hata sijamaliza wife alikuja juu na kuanza kanitolea matusi ya nguoni hadi nikapandwa hasira nilipomkaribia akachukua mtoto watu wa kike ambaye and miezi kama mitatu pungufu kwa mkono mmoja akidai nithubutu kumsogelea anipige na mtoto.
Kwa kumuheshimu mtoto na kuurumia kifo cha mtoto niliamua kunyamaza, nikalala, lakini nikamuomba afunge vitu vyake akakae kwao maana kama anadiriki kutaka kumuua mtoto wake je mimi itakuwaje.
Now yuko anafunga mizigo, jamani wana JF hivi kweli nina mke au ni shetani huyu, Akienda home sitaki kumfuata na ananitishia kushitaki ili tugawane Mali.
Tuna miaka mitano sasa tumeishi wote nilijenga nyumba bila mchango wowote, had juu nilipofikia kuezeka nikamwambia achangie hata kwa kuchukua mkopo bank akagoma, nikaona niende kwa mwanasheria tuandike mkataba yeye kukukataa kuchangia alipoona mambo yamekuwa magumu ndo akaenda akachukua million 5 kama mkopo na tukanunua bath, finishing yote nimefanya mimi pasipo kujua pesa yake Inakwenda wap.
Nilinunua gar akaanza kuliendesha then akaliacha hata kulipanda hataki, yan imimi najihis kuachana na huyu mwanamke ingawa kweli roho inampenda sana na no alternative kabisa.
Naombeni mnishauri.