C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,735
Swali langu ni kuwa kwanini wadada wa Bongo Movies na madada wengi wa mjini kamwe huwezi kuta waatoka na matajiri wa hapa Bongo.
maana hapa Bongo tuna MATAJIRI NA WAFANYABIASHARA
Sasa mie naongelea Matajiri
Kina;
Michael Shirima
GSM
Fidah Hussein
Salim Bakhresa
Ali Mufuruki
Manji
Mo
Abood
Shabiby
Superdoll
Ila utasikia sijui wanatoka na kina;
- Jack Pemba
- Pedeshee Kifaranga mtoto wa kuku
- Nani nani sijui yuko serikalini
- Sijui Mbunge nani huko
- Sijui mfanyabiashara wa madini wa arusha
-Mara sijui mfanyabiashara wa samaki Mwanza
Hao ndio wanaotoka nao
list ya wasanii ni
Wema
Lulu
Aunty
Uwoya
Wolper
List inaendelea na kuendelea..
JF hebu tudaafue tatizo huwa ni nini?
maana hapa Bongo tuna MATAJIRI NA WAFANYABIASHARA
Sasa mie naongelea Matajiri
Kina;
Michael Shirima
GSM
Fidah Hussein
Salim Bakhresa
Ali Mufuruki
Manji
Mo
Abood
Shabiby
Superdoll
Ila utasikia sijui wanatoka na kina;
- Jack Pemba
- Pedeshee Kifaranga mtoto wa kuku
- Nani nani sijui yuko serikalini
- Sijui Mbunge nani huko
- Sijui mfanyabiashara wa madini wa arusha
-Mara sijui mfanyabiashara wa samaki Mwanza
Hao ndio wanaotoka nao
list ya wasanii ni
Wema
Lulu
Aunty
Uwoya
Wolper
List inaendelea na kuendelea..
JF hebu tudaafue tatizo huwa ni nini?