Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalamu! Naombeni nichukue nafasi japo dakika tano nipate kusema hili kwa vijana wenzangu. Kumezuka kasumba ya vijana kupenda kuoa/kuolewa na kijana/mabinti ambao wameajiriwa na wakati mwingine...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Kumekuwa na haka katabia ka wake za watu kuwa katika groups za WhatsApp. Group hizi hujitambulisha kama za wanafunzi wa zamani, mapishi, kufundana, maombi, 'vikoba' n.k. Baadhi ya makundi yana...
6 Reactions
204 Replies
47K Views
Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima! Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako? Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii...
1 Reactions
178 Replies
14K Views
Usikubali kuitumia kila zawadi unayoletewa kama maumbile yako hayaendani nayo. Sawa akina dada??? Unajua kuwa papuchi yako ni kubwa na ni pana kama mdomo wa pochi, kwann uletewe pichu aina ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Elimu ina nafasi gani katika kuoa na kuolewa?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Ukijikuta katika hali ambayo humpendi tena mwenza wako mke/mme. Mnawatoto wawili au wa tatu. Kwa sababu mbalimbali imetokea humpendi tena mwenza wako. Umejaribu kujilazimisha, ume pretend...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Natafuta mchumba wa kike Muislam,mwnye kumcha Allah na mwenye maadili mema. Umri 18-22 mwenye kuajiriwa au aliejiajiri,nipo serious na nahitaji mtu aliye serious pia,mimi ni mtumishi serikalini na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu, Mimi ninachokijua mwanamke ametanguliza hisia mbele na mwanaume ametanguliza akili mbele. Sasahivi ni kitu gani nyie wanawake mfanyiwe ili uone unapendwa kwa dhati nje na maneno...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Nairobi, Kenya: A man almost lost his precious life after a botched and desperate attempt to boost the size of his manhood including performance in bed. Details of the case published in the...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Dear Mamboz! Hope wote wazima Ninauliza tu kama ni kweli......... Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mahubiri kutoka kwenye Radio moja hapa Dar. Alikuwa mchungaji wa kike akawa anasema kuwa ni...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Wadau heshima kwenu, Wengi wetu tunapenda kujiswafi sehemu nyeti hasa tunapokuwa na miadi ya kimapenzi na wenza wapya bila kuelewa athari tunazoweza kumbana nazo hasa wale tunaonyoa zote na...
9 Reactions
94 Replies
22K Views
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso: 1. Asprin 2. FirstLady...
0 Reactions
107 Replies
10K Views
Leo nimetumiwa barua pepe na rafiki yangu mmoja wa kike, content ya barua pepe hiyo ilikuwa ni jinsi gani ya kuwa mwanaume ambaye anaweza kuvutia kila mwanamke.., nimeona ni vyema kushare nanyi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau wa JF mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30,natafuta mchumba ambaye atakuwa mama watoto wangu,kiwango changu cha elimu ni Degree. Mchumba/Mwanamke ninae muhitaji awe na sifa zifuatavyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wadau. Mimi nimeoa miaka miwili iliyopita na nina mpenda sana mke wangu. Tatizo ni kwamba ninapofanya mapenzi na mwanamke wa nje naenjoi zaidi kuliko mke wangu. Yani ile package...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Naandika mawazo yangu haya kama ni yana kasoro sana naruhusu nyongeza na kurekebishwa, tulio kwenye mahusiano ya ndoa endapo hamna zile shida kubwa sana zinazotuharibu. Tujitulize tu kwa sababu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
MPO? Je ulijua kwamba, Wanandoa wanaogegedana mara moja au mbili kwa wiki ndio wenye furaha? Na ulijua kuwa, Kugegedana kila siku sio thibitisho la ndoa yenye raha!! Kugegeda kila siku...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii, nakupeni story fupi ya maisha yangu, mwaka wa pili baada ya kuzaa na mke wangu,aliniambia kuwa hataweza kuishi na mimi kwa kuwa sina kipato kizuri,akaondoka na kuniachia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Fashion magazine wamesema watu wangu wana nguo nyingi viatu lakini chupi wanazo 2 nyeusi na nyekundu. Watu wengi hawapendi kununua chupi. Kwanini watu wangu hawapendi kununua chupi? We una...
0 Reactions
156 Replies
16K Views
Back
Top Bottom