SPSS
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 711
- 388
Habari za juma pili wadau
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia
Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.
Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)
Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu
Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.
I am early 30's na sijaoa
Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa