BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
I greet you all
Nimesoma kwa makini gazeti la Mwananchi toleo la jumapili 21/02/2016
utafiti wao wanadai Baadhi yawanawake
wametoa taarifa kwa watafiti wa Mwananchi kuwa wanapenda bodaboda kwakuwa zinawawaisha kwenye 'michepuko'/ kuwahi kwa wapenzi wao!
Pia liliungwa mkono na madereva wa bodaboda,ambao walikiri kuwa hubeba wanawake wengi kuwapeleka kwenye nyumba za wageni,baa na maeneo mengine kama hayo.
Wanaume ukiona mwenza wako anaongelea kupenda sana huu usafiri sio katika maswala ya kazi.Kaa chonjo!.wengine utasikia 'bodaboda wangu' anakuwa na namba ya dereva wake wanayepelekana kila kona!
Michepuko ni mingi angalieni akimaliza na wewe bodaboda anampeleka mabwepande faster kula kichwa kingine!
Mwisho ukiona Mdada kaupura kwenye bodaboda hawahi kazini au biashara elewa anasambaza upendo!