Wadada naomba niulize kuhusu "Siku zenu za kuzaliwa"

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,939
Hivi mna birthday ngapi kwa mwaka?

Inakuwaje birthdays zenu zinaangukia weekend tu?

Kwanini mkianza uhusiano mpya haipiti wiki inakuwa birthday yako?
 
Umepigwa virungu kwa style yako ya ki pekee
Toa tu hizo pesa
Hawa sometimes wana birthday hata tatu kwa mwaka we jifanye hujui tu
 
Umepigwa virungu kwa style yako ya ki pekee
Toa tu hizo pesa
Hawa sometimes wana birthday hata tatu kwa mwaka we jifanye hujui tu
watafanya tuwe tunaomba vitambulisho vya kura na birth certificate.
 
Hawa ukikaa vibaya utapewa bday mpya unapoingia kwenye mahusiano. Ma ukicheza utadhamini pambano la bday part yote. Ila sasa ikija yako utaoshia kuletewa zawad ya vest na boxer
 
Huwa inakuwa ni moja tu, halafu binti kufanya hivyo ni ushamba na kujishushia thamani kwa mwenzio. Wewe kama unataka zawadi funguka tu, sio una-fake siku za kuzaliwa, kinyume chake ni kuwatukana wazazi wako.

Ahsante!
 
Zaidi ya yote ni kumtukana pia kumkashifu Muumba. Ulizaliwa mara moja, utakufa mara moja tu.

Ahsante!
 
birthday ipo moja tu.. ila birthday fake zipo nyingi tu ni namna ya kuwatoa vizawadi.. kama vipi wakati wanakukubalia waambie waje na kopi ya cheti cha kuzaliwa
 
Hawa ukikaa vibaya utapewa bday mpya unapoingia kwenye mahusiano. Ma ukicheza utadhamini pambano la bday part yote. Ila sasa ikija yako utaoshia kuletewa zawad ya vest na boxer
jamaa yangu alipata kadada kazuri balaa ila kamekaa kipigaji. kakiwa bado kanamzungusha kakatangaza birthday, kakala zawadi na kakaendelea kuzungusha. wakati wa chuo kila weekend kulikuwa na birthday party kwenye hostel za wadada.
 
Back
Top Bottom