Stori yenyewe ipo hivi,
Nina rafiki yangu ambaye tunaheshimiana sana na tunaishi mtaa mmoja mara kwa mara amekuwa akisafiri kibiashara, sasa hivi karibuni alikuwa amesafiri akawa anapiga simu ya mke haipatikani akaamua kunipigia mimi nimpelekee mke wake simu aongee nae kwani alikuwa na shida ya muhimu kufika nyumbani kwake nikasikia miguno isiyo ya kawaida nikaamua kuchungulia dirishani nikakuta yule mwanamke anabanjuana na jamaa mmoja ambaye ni mwalimu pale sebuleni.
Kulingana na jinsi jamaa alivyokuwa ananisumbua na sikujua ana shida nikaamua kugonga, baada ya muda yule mwanamke alikuja kunifungulia nikampa simu akaongea na mme wake ila nikamchana live (unafiki sipendi) nikamwambia yule kijana aje(maana alikuwa amejificha,) nikawaambia hichi wanachokifanya sio kizuri na wanahatarisha maisha yao wote waliomba msamaha wakidai shetani amewapitia(shetani nae ana kazi) wakakiri hawatarudia tena nikaondoka.
Kesho yake yule kijana akaniletea pesa nikamwambia sitaki pesa cha muhimu afuate nilichomwambia na sitamwambia mtu yeyote na sikupanga kumwambia yeyote hata mme wake mimi binafsi nilijua yameisha kumbe yule mwanamke alitumia mbinu ya kunifitinisha na mme akamwambia nimemtongoza na nimekuwa nikimsumbua mara kwa mara kuna SMS aliniomba pesa kwa kigezo kwamba mme wake akija atanirudishia nikamtumia kwa M pesa akamuonyesha kwamba nimekuwa nikimshawishi hata kwa pesa.
Mimi nashangaa jamaa ananipotezea alikuwa kila weekend tunaenda kujenga nchi bar lakini siku hizi nikimpigia simu mara nimechoka sijisikii salamu yenyewe anatoa kwa shida kweli nikimuuliza ana tatizo gani hajibu ndio nikamuona rafiki jamaa kujua jamaa ana tatizo gani akanisimulia yote hayo.
Kwa kweli wanawake ni hatari na wana mbinu kali sana.