Yamenikuta mimi mwenzenu hata sijui nifanye nini, ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama house girl wanasagana.
Bado sijamwambia mke wangu...
Wana JF,
Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa.
Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda...
KADIRI SIKU ZINAPOPITA NA MAMBO HUBADILIKA.
ZAMANI ILIKUWA UNAFUNGA SAFARI KWENDA WASABAHI NDUGU JAMAA NA WENGINEO.
KWA SASA HAKUNA.
PIA TEKNOLOJIA IMECHANGIA.
VIVYO HIVYO UFAHAMU NA UELEWA WA...
Nawashangaa wakaka wa leo hawana vifaa vya kuji link na watoto wa ukweli! Kupata mtoto wa ukweli wala hata haihitaji uwe na mpunga au mkoko wa maana. Ni vile unavyoji package tu.
Pale inapotokea...
Kwanini watu wanasema moyo wangu umependa? Kwanini sio akili ,macho? Sababu kupenda kitu macho ndo yanaona, meseji inapelekwa kwenye ubongo, ubongo unafanya interpretation kama kitu kizuri, kibaya...
Habarini wana MMU,
Naamini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.
Kwanini wanandoa wengi hawana maendeleo mazuri kiuchumi ingawa utakuta wote ni wafanyakazi! Kwanini...
UKIMALIZA KUSOMA HADI MWISHO JIULIZE,
WEWE NI MTUMWA WA NANI?
Pamoja na kuishi kwenye dunia yenye uhuru mkubwa, bado watu wengi wanaishi maisha ya kiutumwa.
Watu wengi wanaishi maisha ambayo...
Wabongo tuishio uswahili bhana shida sana ukimkosea kidogo tu shida. mfano amekusalimia ujamsikia vizuri ujamuitikia atakuambia haya maisha tu . Nao Mademu watakuambia unadharau sana au unajiona...
6 Habits That Are Hurting Your Manhood
If I ask you that with which body part you and your friends relates the word manhood the most, then what should be your answer? Yes, you are right, like most...
UKIAMUA JAMBO FANYA LEO USINGOJE KESHO
Kwenye jambo lolote kubwa unalotaka kufanya, kwenye mipango yote mikubwa uliyojiwekea, usiangalie ukubwa na kuona unahitaji nguvu za ziada au muda wa...
Habari Jf, tuelimishane kuhusu
SABABU ZITAKAZO KUFANYA WEWE BINTI USIOLEWE:-
★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!
★2. Kujipaka...
Utafiti uliofanywa na shirika lisilo la kiserikali la NOTRUX unaonyesha kuwa asilimia 80 ya wanawake ni waongo na asilimia 45 ya wanaume ni waongo.
Wanawake wanaonekana kudanganya kutoka...
Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo...
Mpangaji 1 alikuwa ana tumia zuli langu yeye na mumewe nikawaambia ukweli wakanikasirikia.
Mpangaji wa 2 siku moja nilikuwa naanika nguo yangu kwenye kamba bahati mbaya nikaangusha nguo za mtoto...
Jamani naomba kupata uzoefu toka kwa wazazi wenzangu ni umri gani ambao unaweza ukaacha kulala na mtoto wako kama mnaishi wawili yaani husband and wife, mwanangu ana miezi 30 sasa bado tunalala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.