Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Nimetoka kazini namauchovu yangu ya kuzidi nikaamua kuingia bafuni kuoga simu yangu nimeicha mezani.
Nimemaliza kuoga narudi chumbani simu inaita napokea nashangaa mke wangu kastaajabu kaonesha mshangao huku nikisikia sauti ya mwanaume ikisema "hello babe niambie"kitendo cha mimi kwenda kuoga yeye kachukua simu yangu kambip hawara yake.
Nipeni tu ushauri japokuwa nilimchapa vibao 2 maridadi hivi ninavyowaeleza yupo kwao na ananitumia msg za kuniomba msamaha, bado sijapata jibu.