Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa habarini za kwenu.

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tunashuhudia matendo ya ajabu ambayo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa wanandoa. Wanandoa wengi wa kike wamekuwa wakilalamikiwa kuwa na viburi, jeuri na dharau na pia kushutumiwa kwa kukosa kuzizingatia zile tamaduni za awali ambazo zinamtaka yeye amheshimu, enzi na kumnyenyekea mume ambaye ndiye kichwa cha familia.

The same applied kwa kina baba, wengi wanalaumiwa kuwa wakatili nowdays, hawasikii na wanatiwa viburi na small houses zao.

Nyingi sababu zimekwishatajwa mf.Kwa mwanamke asiye na adabu tunaambiwa ni;
- Malezi na maadili kupungua
- U-feminism/gender/ beijing effects
- Uwezo wa kipato/kazi nzuri/elimu n.k ambavyo vinasemekana kumpa mwanamke kichwa

Kwa mume mara nyingi huwa tunasema anadharau kama mke ni mama wa nyumbani hana kipato chochote; hajui kupigilia pamba za kufa mtu; hajui kujiweka soap soap; anajali watoto kuliko Mzee n.k.

Lakini pia inaaminika kuwa zipo sababu muhimu ambazo mume/mke mwenyewe huchangia katika either kumfanya mume/mke asimsikilize, awe anakuwa mbabe na kuonyesha uanaume wake/ usinibabaishe type -wanawake (Sababu ambazo hazihusiani na ubeijing kabisa) mf. kama mume mwenyewe hajiheshimu/hamheshimu mkewe
-Mume/mke hamchukulii mkewe/mewe kama mke anayestahili kuheshimiwa, kutomsikiliza au sikiliza ushauri wa mke n.k.

My take: Nadhani kuna umuhimu wa kubadilisha theory ya mahusiano haya kwa sasa. Badala ya kusingizia Beijing, elimu, kipato cha mama tuanze kuangalia ni matendo/tabia gani za kina baba/mana yanayosababisha wadharauliwe ndani ya nyumba zao; waibiwe/salitiwe n.k.

Samahani nimeedit kwa kuwa its a two-way traffic ila naona heading imegoma ......Isomeke Sababu za mke/mume kumdharau/mtenda mwenzi wake....

Aksanteni.
 
Sex ikiwa ni mbaya inaweza kuwa underlying reason ya dharau ya mke kwa mume. Vingine huwa ni nyongeza na viungo tu....
 
kama alikuwa na wanaume wengi kipindi cha nyuma na akikulinganisha na wewe anaona hauna lolote, hovyo hapo ameolewa na wewe kwaajili ya pesa tu labda, siyo mambo mengine ya ndani. hapo ndo mtajua umuhimu wa kumwomba Mungu akupatie kifaa kipyaaaa, au walau ambacho hakijasasambuliwa mara nyingi. hata kama ukiwa unamdunda kila siku, kama anaona unamfaa ndani ya chumbani, atakuheshimu tu. sasa, akiwa hakuwa amejitunza, yaani alikubuhu kipindi cha nyuma, ukamdunda na ndani kwenyewe ndo hakueleweki, basi ndo anakudharau na kuhamia nyumba ndogo kisirisiri hasa kama hajaokoka. ila kama ameokoka, labda kidogo image ya mambo ya kale yawezabadilika kidogo kwasababu Mungu hubadilisha chochote akitakacho. ushauri, oa mwanamke aliyeokoka (ambaye hautampata kama wewe haujaokoka), au kama mambo ndani yameshaanza kuharibika, kimbilieni kanisa la walokole haraka kabla hamjamalizana ndani.
 
Wapendwa habarini za kwenu.

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tunashuhudia matendo ya ajabu ambayo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa kina mama walioolewa. Wanandoa wengi wa kike wamekuwa wakilalalmikiwa kuwa na vibutri, jeuri na dharau na pia kushutumiwa kwa kukosa kuzizingatia zile tamaduni za awali ambazo zinamtaka yeye amheshimu, enzi na kumnyenyekea mume ambaye ndiye kichwa cha familia.

Nyingi sababu zimekwishatajwa mf.
- Malezi na maadili kupungua
- U-feminism/gender/ beijing effects
- Uwezo wa kipato/kazi nzuri/elimu n.k ambavyo vinasemekana kumpa mwanamke kichwa

Lakini pia kuna sababu ambazo mume mwenyewe huchangia katika either kumfanya mke asimsikilize au awe anajiweka sawa na mume wake (Sababu ambazo hazihusiani na ubeijing kabisa) mf. kama mume mwenyewe hajiheshimu/hamheshimu mkewe (why bother?)
-Mume hamchukulii mkewe kama mke anayestahili kuheshimiwa, kutomsikiliza au sikiliza ushauri wa mke n.k.

My take: Nadhani kuna umuhimu wa kubadilisha theory ya mahusiano haya kwa sasa. Badala ya kusingizia Beijing, elimu, kipato cha mama tuanze kuangalia ni matendo gani ya kina baba yanayosababisha wadharauliwe ndani ya nyumba zao; waibiwe/salitiwe n.k.

Aksanteni.

Kuna swali liliwahi kuulizwa na carmel hapa jamvini. Aliwauliza wanawake wenzie kwamba, what do you mean when you say that you are a strong woman? Hilo swali wanawake walilikwepa kulijibu kwa kuwa alikuwa kauliza maswali mengi kwa wakati mmoja!

Bado nina kiu ya jibu la swali hilo pia. Nadhani siko off-topic kwa kuwa linaendana haswa na hizo dharau unazizungumizia hapo kwenye hoja ya msingi Mwanajamii One!

Naomba kutoa hoja!
icon10.gif
 
  • Thanks
Reactions: Paw
matendo ya baadhi ya akina baba ni matokeo tu ya hayo uliyotangulia kutaja................. so kuyaweka kando hutapata sababu husika kwa usahihi...........

siku hizi akina mama wamegeusa nyumbani kuwa mahali pa ligi, yaani mashindano na kujitetea kila siku...... wanamini wasipofanya hiyo watatwaliwa na hawataki tena ktawaliwa au kuonozwa na mwanaume.......... ndoa zimekuwa ubia wa kushindania interest kila siku............ mfano mara sijafika kilele cha mawezi, umeniacha kibo tu..... mara mbona umefika mawezi mara ngapi sijui, mimi ndio unataa nipande mara moja tu............ kweli kuna wakati unakuta kero inaazia old traford na mtu anaanza kukereka kuanzi huko na huku nje zinazoshuhudiwa ni matokeo tu ya zile kero zilizochimbiwa ndani............. tuepuke mashindano.............

tukiacha mashindan na kuvunja hizo ligi, tutapata amani.................
 
Ukweli uliovua nguo ni kwamba mwanamume asiyemfikisha mke wake "kileleni" atadharauliwa!

Mengine ni matokeo tu! Kitu pekee kinacho keep stong bond kwenye ndoa NI tendo la ndoa timilifu.
 
Sex ikiwa ni mbaya inaweza kuwa underlying reason ya dharau ya mke kwa mume. Vingine huwa ni nyongeza na viungo tu....

So ina maana hata kama mr ni mnyanyasaji kama anadharau, matusi ya reja reja n.k but sex ikiwa nzuri mke atamheshimu tu?

i agree kuwa good sex has a very big impact kwetu sisi wanawake but I believe other factors matters too au?
 
Mwanamke akiku choka hata uwe vipi,utamboa tu..
sometime bora mpeane space au msafiri pamoja
kubadili mazingira....

The Boss, siyo mwanamke tu, hata mwanaume akikuchoka inakuwa kazi. tena afadhali mwanamke anaweza akakufanyia vituko lakini yupo ndani, mwanaume anaweza akahamia kabisa mtaa wa tatu
 
matendo ya baadhi ya akina baba ni matokeo tu ya hayo uliyotangulia kutaja................. so kuyaweka kando hutapata sababu husika kwa usahihi...........

siku hizi akina mama wamegeusa nyumbani kuwa mahali pa ligi, yaani mashindano na kujitetea kila siku...... wanamini wasipofanya hiyo watatwaliwa na hawataki tena ktawaliwa au kuonozwa na mwanaume.......... ndoa zimekuwa ubia wa kushindania interest kila siku............ mfano mara sijafika kilele cha mawezi, umeniacha kibo tu..... mara mbona umefika mawezi mara ngapi sijui, mimi ndio unataa nipande mara moja tu............ kweli kuna wakati unakuta kero inaazia old traford na mtu anaanza kukereka kuanzi huko na huku nje zinazoshuhudiwa ni matokeo tu ya zile kero zilizochimbiwa ndani............. tuepuke mashindano.............

tukiacha mashindan na kuvunja hizo ligi, tutapata amani.................

Ndicho nisemacho mimi hapa mpenz AK. Kwa nini usimfikishe mwenzio basi? au ndo suala la uselfish nifaidi mie fish?
 
kweli kuna wakati unakuta kero inaazia old traford na mtu anaanza kukereka kuanzi huko na huku nje zinazoshuhudiwa ni matokeo tu ya zile kero zilizochimbiwa ndani.........

Sex ikiwa ni mbaya inaweza kuwa underlying reason ya dharau ya mke kwa mume. Vingine huwa ni nyongeza na viungo tu....

Ukweli uliovua nguo ni kwamba mwanamume asiyemfikisha mke wake "kileleni" atadharauliwa!

Mengine ni matokeo tu! Kitu pekee kinacho keep stong bond kwenye ndoa NI tendo la ndoa timilifu.

Duh, inawezakana ni kweli enh!
 
The Boss, siyo mwanamke tu, hata mwanaume akikuchoka inakuwa kazi. tena afadhali mwanamke anaweza akakufanyia vituko lakini yupo ndani, mwanaume anaweza akahamia kabisa mtaa wa tatu

Mwanamke yeye anakuletea njemba ndani tu!
 
Duh, inawezakana ni kweli enh!
Nafikiri kuna ukweli flani hapo ila hata unapokuwa na mume ambaye hatimizi majukumu yake nyumbani je haitapelekea kwa yeye kudharauliwa na mkewe? Kama ilivyo kwa mke ambaye pengine ana tabia ya uchafu, umbea n.k. ?
 
kwa hapa mjini pesa nayo inasambaratisha sana mahusiano ya watu vile vile ndoa za watu. wanawake wengi wanadhani gari ndo maisha, ukiwa na gari tena zuri utaona wanawake wanavyokuheshimu. too much materialistic
 
So ina maana hata kama mr ni mnyanyasaji kama anadharau, matusi ya reja reja n.k but sex ikiwa nzuri mke atamheshimu tu?

i agree kuwa good sex has a very big impact kwetu sisi wanawake but I believe other factors matters too au?

Other factors matter alot. maana kama mtu anakunyanyasa hata hiyo sex utaitamani? ndo yale yale kila ukimwona unahisi anakuja kukubaka. Inabidi kwanza mambo mengine yawe mazuri then kuwe na good sex
 
Mwanamke anatakiwa athaminiwe na aheshimiwe kama mwanamke hata kama humfikishi huko wanako sema mawenzi lakini imradi tu wampa heshima yake na kumthamini basi naamini upendo utaongezeka mara dufu.
 
Back
Top Bottom