Wanaume huwezi kubadilishana mawazo?nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25
Njoo hapa leta hayo mawazo tubadilishane
Hahah sio mawazo hayo wee anataka mbadilishane mawazo yale...
Kwani mawazo yamekuaje mpaka unataka mtu wa kubadilishana naenina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25