Kosa hili hulifanya akina dada wengi wakiwa faragha na wenza wao

PARADIGM

JF-Expert Member
Sep 9, 2014
2,774
1,823
Asalaam Alaikum wanajamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Tunajua akina dada wengi hutilia maanani suala la kupendezesha nywele zao.

Hakuna ubaya wa hilo ila tatizo huja pale wanapokuwa ndani ya sita kwa sita wengi wao hu pay attention sana kwenye nywele zao zisivurugike wakati wa game kiasi ya kwamba mwenzio kuona hauko na yeye bali unajali nywele.

Hii ikizidi hupunguza stimu ya wanaume. Akina dada jaribu kuchunguza hili ninalowaeleza utakuta wanaume wengi hawalipendi.

Kama ulipendezesha nywele basi huu ndo wakati wake. Jiachie hata kama zikivurugika utapewa hela utengeneze tena ili mradi uweze kuonyesha presence ya mawazo yako kwa mwenza wako.
 
Ukiona hivyo ujue yupo na wewe basi tu afanyeje. Kama amekukubali hatakuwa na muda na hizo nywele zake, attention yote itakuwa kwako.

Soma alama za nyakati!
 
Imagine you were Kev Hunter, wouldn't you wish Wendy to make sure her wig doesn't come off during the nasty? Sh!t! I would. I'm just playing.

On a serious note tho; If you doing it right, you won't have to worry about her focusing on herself, or anything that's not going on at that particular juncture.
 
Mtoa mada ongezea na makeup zao unanyimwa hata kumbusu kisa utabanduka na makeup ya kwenye shavu busu ya mdomo ndo kabiisa utaiyona kwenye TV maana utatoka ile rangi nyekundu...
Afadhali hiyo maana wakati mwingine huwa wanajipaka mafuta fulani usilu ambayo si rafiki kwa jinsi harufu yake ilivyo. Na ukijaribu kuwaelewesha wanakuwa wakali kweli.
 
ngoja sasa nikupe siri.... rafiki yangu tukitoka kutengenezwa hizo nywele yaaani ni maumivu mapaka unapaka dawa ya kuchua kichwani ... .. pili kuguswa kichwa inakuwa ni kutaka kuniua aiseee ............usione tunapendeza huku tumesokotwa manyuzi na makatani kichwani ukafikiria siku za mwanzo tunalala thubutu .. kulala mpaka tupake diclopa ile cream au vivian cream ile ya kuchua kuondoa maumivu... sasa kama kulala ni shida unadani naweza kushughulikia mzigo ... kutafuna kwenyewe shida unafikiri hata kunyonya koni nitaweza ........... ukiona tumetoka kusokotwa ni bora usiombe mzigo kwa sababu maumivu nayo pata kichwani hata nyege haziji... asante
 
Imagine you were Kev Hunter, wouldn't you wish Wendy to make sure her wig doesn't come off during the nasty? Sh!t! I would. I'm just playing.

On a serious note tho; If you doing it right, you won't have to worry about her focusing on herself, or anything that's not going on at that particular juncture.
Labda hujakutana na type hii. Wakati wa kulala wanafunga vitambaa au wanavaa kofia kuzuia nywele zisivurugike. Sasa wakati mwingine hili halizuiliki na ndo utaona wanaanza kuhangaika kuziweka sawa.
 
ngoja sasa nikupe siri.... rafiki yangu tukitoka kutengenezwa hizo nywele yaaani ni maumivu mapaka unapaka dawa ya kuchua kichwani ... .. pili kuguswa kichwa inakuwa ni kutaka kuniua aiseee ............usione tunapendeza huku tumesokotwa manyuzi na makatani kichwani ukafikiria siku za mwanzo tunalala thubutu .. kulala mpaka tupake diclopa ile cream au vivian cream ile ya kuchua kuondoa maumivu... sasa kama kulala ni shida unadani naweza kushughulikia mzigo ... kutafuna kwenyewe shida unafikiri hata kunyonya koni nitaweza ........... ukiona tumetoka kusokotwa ni bora usiombe mzigo kwa sababu maumivu nayo pata kichwani hata nyege haziji... asante
Umesema kweli miss chagga..hili nimeliona sana. Mpaka wakati.mwingine mtu unamuhitaji lakini yeye anahangaika na nywele. Ni kiti kinaboa sana.
 
Navyopenda kuchezewa nywele mimii...yaani unahisi kabisa ganzi inapita juu mpaka kati...
 
Labda hujakutana na type hii. Wakati wa kulala wanafunga vitambaa au wanavaa kofia kuzuia nywele zisivurugike. Sasa wakati mwingine hili halizuiliki na ndo utaona wanaanza kuhangaika kuziweka sawa.

Ndio maana nikasema, kama unafanya part yako kwa ufanisi, hutakuwa na wasi wasi wa hiyo kadhia.
 
Back
Top Bottom