Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika 2. Mwanamke aliyeachika 3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa...
15 Reactions
93 Replies
15K Views
1 ) STOP COMPARING!! "Why don't you dress like Mike's wife?",Why you never take me out! See how Ann's husband goes out with her all the time?"; "Couldn't you be more hardworking,can't you see how...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Leo ni siku ya wanawake duniani kabla ya kwenda sana kwanza fikiria "siku ya wanawake." Si nia yangu kuwakandia but hoja yangu ni vita vya kipumbavu wanayopigana na jinsia ya kiume. Ukiwasikiliza...
3 Reactions
103 Replies
10K Views
Natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18~30 Johnkipepe@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna jamaa ananieleza mpenziwe kavunja uhusiano nae kisa alimtusi. Ilikua hivi; kulikua na kutokuelewana baina ya wapenzi, mhusika akaamua kuporomosha matusi kwa binti. Binti kaghafilika...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikishuhudia sana tena kwa kiasi kikubwa mnoo kulaumia baina ya wanawake na wanaume katika suala zima la mausiano(ndoa),iwe ktk jamii huku tunakoishi au humu JF...
8 Reactions
337 Replies
22K Views
Kama utakuwa na ujasiri wa kutosha, na ukafanya kitu kikubwa, ambacho hakijawahi kufanywa na ambacho kinaweza kuwasaidia wengi. Watu hawataacha kusema, na haya ndiyo yatakayosemwa.. Kuna makumi...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Kaka yangu anahitaji mke ambaye ni very simple, yaani asiwe mcharuko na mpenda starehe hasa pombe n.k umri wake ni 34years. Mwanamke yoyote ambaye yupo serious awasiliane naye kwa 0629141421...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi nilileta uzi humu nikiomba wapi naweza pata sindano za vichaa kwa ajili ya kuondoa kabisa hisia za mapenzi, kwani nia yangu ni kuachana na mwanaume, na sikutaka habari ya kuchepuka...
3 Reactions
145 Replies
16K Views
From my experience, from reading, from my marriage, from common sense and from history...Women use sex to get something. Whether be marriage, promotion, favor or anything. To prove my point, see...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni. Hata kukatika mauno...
10 Reactions
58 Replies
7K Views
Kuna tukio limenitokea leo kuna mdada miaka kama 28+ nimemkuta kwenye mgahawa anakunywa chai alivyoonekana ni kama alikuwa na kitu kinamchanganya pamoja na hasira alipomaliza kunywa chai akatoka...
15 Reactions
400 Replies
41K Views
Habarini za asubuhi... Nina mdogo wangu was kiume Ana mwanamke wake walianzana tangu A level Mpaka was wako chuo mwaka wa pili...Sasa jizi katoa taarifa ya kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi was...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwanza hongera kwa kuitwa mama maana kuzaa sio kitu rahisi. Ndio umezaa nje ya ndoa ila Mungu wako unaemwamini ni wa rehema na anasamehe.Najua watu wanakuona malaya, hufai,mkosaji ila tambua tu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
UKIFANYA MEMA NA MUNGU ATAKULIPA MEMA Mtoto alimuweka mama yake kwenye kituo cha kulelea wazee, na alikuwa akimtembelea kila baada ya muda.Siku moja akapigiwa simu kutoka kituoni kwamba mama yake...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
HUUMIZWI BALI WEWE MWENYEWE UNACHAGUA KUUMIZWA Tunapokuwa na mipango na watu wengine, na watu hawa wakawa na eneo lao ambalo wanatakiwa walitekeleze ili na sisi tuweze kutekeleza eneo letu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
UNATAKIWA KUKOMAA NA MPANGO WAKO Ingekuwa kuweka tu mipango ndio kufanikiwa, basi kila mtu angekuwa na mafanikio makubwa sana. Kila mtu anaweka mipango mizuri sana, yaani sana.Lakini mipango hii...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
I salute you JF members, Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna...
9 Reactions
167 Replies
18K Views
Leo J’tatu nikaamka mornie sana, nikaenda ground kupasha tizi kidogo ili kuweka mwili fit. Then nikarudi geto mishale ya saa 1 asubuhi. Nikawa nimechill pale nje ya geto nasubiri mwili upoe ili...
13 Reactions
98 Replies
9K Views
Back
Top Bottom