Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 568
Kuna jamaa ananieleza mpenziwe kavunja uhusiano nae kisa alimtusi.
Ilikua hivi; kulikua na kutokuelewana baina ya wapenzi, mhusika akaamua kuporomosha matusi kwa binti.
Binti kaghafilika; kasitisha uhusiano hataki kupokea simu ya jamaa.
Je matusi hapo ndio sababu au kunasababu nyingine zaidi ya hiyo?