Missed connection: ''kaka, Samora Road ndo iko wapi?''

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,120
8,149
Leo J’tatu nikaamka mornie sana, nikaenda ground kupasha tizi kidogo ili kuweka mwili fit. Then nikarudi geto mishale ya saa 1 asubuhi. Nikawa nimechill pale nje ya geto nasubiri mwili upoe ili nikapate ‘shower’ ya kopo. Nikaanza kuwaza mawili matatu pale, maana niliamka sina ramani kabsa kwa siku ya leo, channel zote chenga. Nikawa nawaza leo nitaweka vipi luku wakati sina ata buku?!! Afu kodi ya chumba alarm ishagonga since March mosi. Majangest!! Uwanja mkavu… refa kauzu, kilichobaki kucheza rafu! Ama kweli huku site mambo tight sana ndugu zangu, walahi ipo siku nitaenda kuomba ‘poo’ kwa mungu wa Kakobe animwagie mavumba! Japo mungu wa Kakobe ni mbaguzi, anataka waumini waliotusua tu, alienacho ndo anaongezewa… YES, no fairness chini ya jua.

Mishale ya saa 3 ivi, napata text ya mchizi. Oyaa kiongozi pande zipi mida hii? Nikamjibu nipo kitaa tu babu, sina mchongo. Akanijibu dondoka downtown fastaa, kuna inshu. Nikasema barida, dakika sifuri nitamwagika hapo. Maana akina sie tuliofuzu ElimuMtaani.Kom … ‘deiwaka’ (ila sio mazabe) ndo zinatuweka mjini. A Mastermind hana MaterPlan. So the MasterMind must link na mwenye MasterPlan ili to make things happen! Makomredi wa uswazini na mahustlers wa town wananielewa vizuri hapo! Kuishi uswazi form SIX. Kuzaliwa Darisalama chuo chikuu. Mishe twenti four seven, and Alhamdulilah life goz’on. Maisha nguzo yake ushujaa, alishasema mkongwe Salu-T.

Fasta sana nikazama bafuni kupata ‘shower’ ya kopo. Then on my way to downtown. Navuka chochoro kadhaa kukaribia road kubwa, mara namuona mama ‘ntilie akitoa huduma ya asubuhi. Supu za kongoro, maandazi, chapatti, na mazaga mengine kibao yanapatikana hapo. Tunafahamiana huyu mama. Nikamtonya… mama eeh, aaagh mimi leo mambo sio mambo, sa tunafanyeje bi’mkubwa. Mama akanata na beat. Anaelewa maisha ya mtaa. Chapati mbili nzito plus harage nazi… nikapelekwa pwani! Then huyooo nikala kiatu kuelekea stand ya daladala.

Road ilikuwa nyeupe, no foleni wala mizengwe. Kulikuwa na kimvua in aste aste mode. A couple of minutes, nishatimba downtown posta. Nikaanza kuikata mitaa kumfuata mchizi alipo. Posta bhana, asali tupu. Kila demu unaepishana nae ni diva. Kila demu ana ‘screen chogo’ nyuma utadhani wanachambia hamira. Vidume ni mwendo wa ‘kuvunja shingo’ tu na kushangilia uumbaji wa mwenyezi Mungu, japo nawadeiz Mchina nae ni ‘steki-holder’ kwenye uumbaji wa dada zetu. Hawa wadada wa darisalama walivyonona, usipokuwa 'cost-conscious' walahi utaishia ‘kukata mpunga kama Kyela’ na usijenge ata kibanda uswahilini. Wadada wana ‘mikia’ yani utadhani ya maonesho sabasaba. Mdada yupo posta, anajambia salender bridge. Kha! Ila zote hizo ni neema za ALLAH. Mimi huwa navunja shingo nakula kwa macho, kisha nasema ‘tawire’! naendelea na mishe zangu. Ndo maana hatung'oki mjini ata kwa greda za Heche Saguti. Ila mind you... msije mjini (in mwana F.A voice). lol

Mishale ya saa 5 ivi, nishaonana na mchizi keshanipa mchongo. Naelekea point B nyingne fulani kupitia pale jengo la Posta mpya. Pale koridoni posta mpya, zero-brains na mabitozi wanapouzia sura na kutega mademu. Nikazama ndani ya jengo la posta ili 'nile kipupwe' dakika kadhaa. Alaaa bongo joto bhana! nikaegesha mule ndani for some minutes afu nikatoka nje pale koridoni ili sasa niendelee na direction yangu. Ile natoka nje tu pale golini usawa na ile stationery ya nje, nakutana na bro mmoja ivi ambae hatukuonana since back in ze dei kitambo. Ni mshikaji wangu sana huyu. Ni homeboy. Trading stories ika-kick off promptly. Za miaka mingi niaje, mitikasi vipi apa town, tuka-exchange madini, and blah blah.

Tukiwa tunaendeleza stories pale na uyo bro, mara ghafula nasikia ‘sauti ya kwanza’ inaniongelesha, nikavunja shingo kumsikiliza…

Binti: Kaka, samahani…

Mimi: Bila samahani best… ehee nambie (with an intensive concentration)

Binti: Naomba kuuliza, eti ‘Samora Road’ ndo iko wapi?

Mimi: Ahaa, sa sikiiza… nyosha moja kwa moja, usipinde kokote, we nyosha tu, utaona sheli apo kati, endelea tena kwenda mbele mpaka uone round-about yenye mnara wa askari kashika bunduki. Yani kwenye hiyo round-about kuna sanamu ya askari kashika bunduki. Hapo kwenye round-about, utaona barabara nyingne inashusha kaskazini yaani kushoto kwako, ama inapandisha kusini yaani kulia kwako. Hiyo street ndo Samora Road. Hope umenisoma fureshi.

Binti: Yeah nimeelewa, nimeelekezwa maduka la samsung mtaa huo. Ahsante sana.

Mimi: Alight, haina nowma. (demu akasepa huku mie ‘nikivunja shingo’ kiaina ili kufanya ‘tathmini’ ya macho mpaka alipo-vanish)

Convo hiyo iliteki place within dakika sifuri kati ya mimi na mrembo uyo mwenye sura nzuri sana. Mrembo fulani ivi lainiiiii, nahisi hawezi ata kubofya remote. Black beauty fulani ivi mixa chocolate. Ana sura nzuri sana, na ‘vishimo’ shavuni kwa mbaaali akiwa anaongea. Sura yake ndo alinivutia zaidi, moyo ukalia ‘paaaah’ juu kwa juu. Pia nyuma 'mjengo' anao, ‘nyoro’ inaita si haba. Chini alikuwa amevaa trouser jeans blue mpauko (if my memory serves me well), juu alitupia simple top rangi ya kijivu (dizaini kama cotton laini au shifonni ivi). Kwa tathmini yangu ya haraka, kichuna yule ni ‘foreigner’ hapa jijini.

We mrembo, kama utasoma uzi huu, please hebu do the needful. Mimi nilivaa trouser kadeti ya kaki with American boot. Juu nilitupia tshirt black. Mkononi nilishika nokia ya tochi. Please, ebu sema japo ‘hi’ tu moyo wangu upone! Teh

Tangu mida ile mpaka usiku huu naandika thredi hii, mind yangu umeiteka na moyo wangu umeupeleka gereza la mahaba! Nakuona kabsa they way you were kindly asking me. You looked very innocent lady. It’s my sincere anticipation that tonight you are going to wave ‘kitambaa cheupe’ in my dreams.

To Love A Stranger…. Njiwa peleka salaamu!

- Kaveli -
 
Huu ni UDOMO ZEGE ULIOTUKUKA.Yaani amekupa mwenyewe pa kuanzia unakuja JF kuanzisha thread??!! Siku ingine unamwambia 'na mimi nilikuwa naenda huko huko twende nikupeleke'
 
Me nimefurahishwa na uwasilishaji wako wa hii situation.
By the way,Kwanini usingemfatilia uyo demu mda ule ule uliomuelekeza!! Anyway pole kwa udomo zege,Njoo nikupe dada yangu.
 
Hahahah kaka'ake me lugha yako tu ya kitaa, wa mjini mnasemaga "so amazing". Kama nakuona utakavyomuota sista duu leo hahah
 
Missed opportunities .....
mpaka akuulize wewe usikute na yeye aliona kitu kwako
akaamua kurahisisha zoezi kujiongelesha....pengine mtaa anaujua vizuri
wewe hukuelewa kabisa.....

Mkuu, what if 'pengine' alikuwa ni mgeni kweli? Anway nakubaliana na wew kuwa that 'might' be a missed opportunity. By the time being kulikuwa na inshu ya hela naifuatilia kuikamilisha ndo iliniteka akili sanaaa muda ule.

Nimefika geto na kutuliza akili, ndo nikaikumbuka iyo situation. Hahahaa nimechezea fursa Mkuu
 
Hi...what a coincidence!!Nashukuru nilifika salama kama ulivyonielekeza!!

Hahahaa, tumekutana tena umu?!! Haya njoo sasa "nikuelekeze" vzuri samora road na nikupeleke kabsa maduka ya Samsung. Teh
 
Udomo zege bado ni tatizo ambalo wengine waliwahi hata kukosa mke

Hahahaa udomo zege nilishauchimbia kaburi since niko kinder gateni.

Mkuu, let's simplize it this way: una mke? Ebu nikutanishe nae afu utuache dakika 5 tu. I insist: uniache nae dakika 5 tu! Afu uone kama hajanipa mpk 'cha uvunguni'
 
Huu ni UDOMO ZEGE ULIOTUKUKA.Yaani amekupa mwenyewe pa kuanzia unakuja JF kuanzisha thread??!! Siku ingine unamwambia 'na mimi nilikuwa naenda huko huko twende nikupeleke'

Mkuu, I am well aware of all that. In mitongozo I am better. I will be the 'best' seducer once I have 'papers'... hopefully yu gat wat am seyin here. Najua sana how to 'take-off' with a woman of any status, be it for a quickie or something seriouz. Start-up lines depend on the occassion/situation ofcoz.

But by the time being, nilikuwa stressed with some monetary issues to which I was rushing urgently. I think this is why I didnt pay 'full' antetion to such diva. Yani nimerudi geto this night ndo akili inaanza ku-memorize the thing. Lol
 
We mtoto wa mjini mzima umeshindwa vipi kumwambia njoo nikupeleke halafu umalize mambo?
 
Me nimefurahishwa na uwasilishaji wako wa hii situation.
By the way,Kwanini usingemfatilia uyo demu mda ule ule uliomuelekeza!! Anyway pole kwa udomo zege,Njoo nikupe dada yangu.

Hahahaaa Mkuu, wew kweli ni muungwana sana. Ebu nipe huyo dada ako tu-establish ushemeji. Na hili kukuprove wrong on udomo zege, we nikutanishe nae tu in person afu nitalianzisha na kulimaliza mwenyewe. NOTE: awe cute & sexy! Lol

Mkuu, to be honest... akili ya kumfuatilia yule demu haikunijia kabsa muda ule. Nilichukulia poa ivi. Nilikuwa nawaza mchongo nilokuwa naenda kuufanya point B. In short nikubali kuwa nimechezea 'fursa' nje nje. Nimefika geto nikachill ndo akanirudia akilini yule mrembo. Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom