bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Juzi nilileta uzi humu nikiomba wapi naweza pata sindano za vichaa kwa ajili ya kuondoa kabisa hisia za mapenzi, kwani nia yangu ni kuachana na mwanaume, na sikutaka habari ya kuchepuka.
Nashukuru kwa waote walionishauri kwa mazuri na wengi pia walini PM kwa ushauri, lakini msimamo wangu niliushikilia hatimae nikachoma sindano Jana jioni na Leo nimepita hivi, maisha ya kuishi na mwanaume mashost msithubutu, ni kero tupu ndani ya nyumba, hakuna maisha mazuri kama kuwa single.
Wanaume wanaowapigia kelele mabinti kuwa hawaolewi jua ndo hiyo wanaume wenye kero ndani, jioni hii pia nimeongea na jirani yangu ambaye ameishi na mumewe kwa miaka 12 siku zote huniambia matatizo ya mumewe Leo nimempa somo haswa kasema nae kachoka anataka nimpeleke nae akachome sindano asepe.
Hayo ni machache kati ya mengi ndugu zangu, ushauri wangu kwa wadada msithubutu kwenda kuwapikia na kuwafulia wanaume, kisa eti mmeolewa subutu, bora kuwa single.