Ukitaka kupata msongo wa mawazo mpaka ufe oa hawa wafuatao

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,661
1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika

2. Mwanamke aliyeachika

3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa akina dada wana magroup, hadi migegedo ya saizi mbalimbali wanatumiana)

4. Mdada aliyeenda umri halafu anaishi gheto ( Hawa mara nyingi wamekubuhu, hadi wanaume wakwere wanawakwepa, wadada hawa hujifanya social, wana msururu wa marafiki wa kiume, mara nyingi hit and run kwao ni kawaida)

5. Mdada unayemtongoza siku moja, ya pili au ya tatu ukimwita kwako, anajileta. Kumbuka wewe sio wa kwanza kumtongoza, wewe labda ni wa hamsini.
 
Mkuu wanawake wa sasa wote wako hivyo. Ndo nyakati zulizonazo, hivyo ni akili kumkichwa
 
Namba 1 & 2 ni kweli kabisaaaaa. Wenzio walimshindwa wewe una ujuzi gani. Kitu kidogo tu tiyari; Tupa kuleeeeee
 
Hiyo namba 3 inamuhusu saaaaana fulani ambae huwa hapendi kupitwa na thread hata moja hapa JF, jukwaa lake kuu ni MMU na juzi juzi watu waliipinga picha iliyopo kwenye avatar yake LOL!!!
 
Back
Top Bottom