"Nimekuwa ktk mahusiano na wasichana tofauti tofauti ktk nyakati tofauti, relationships hazijafanikiwa kumpata yule ambae nilitegemea atakuwa wangu wa milele,wasichana wengi nlokutana nao ni money...
I am looking for a woman who is going to be my wife. Age of 22-27 and should be independent. I'll consider mostly those from lake zone except kagera region. I am 29 yrs old.
More details will be...
Habari zenu wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.
Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya...
Good morning,
Kushare yanayokusibu moyoni si vibaya make inakupa ahueni na faraja pia sometimes, ila nani unaemwambia na unamwambia nini ni swala lingine tena.
Jana hiyo kijiweni, mke wa mtu...
Wanajamvi mnishauri kama si kunielimisha ni hivi nina mchumba wangu ambaye imebaki siku kama tano nifunge naye pingu za maisha ila kilichonishtua mpaka niandike uzi huu ni jana alikuja nitembelea...
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au...
Kuna msemo unasema,cheza ngoma huku ukiangalia ka jua kimaadili kufanya mapenzi wakati hujaolewa au kuolewa ni kosa kubwa japo ni vitu ambavyo vipo katika jamii.Watu wazima wanasema ujana ni kama...
Habari za jioni wana jamii forum,
Mimi napata shida sana kwenye haya mambo ya mapenzi. Nimekuwa nikinunua malaya sasa nimeamua kutulia nitafute mwanamke mzuri na mwenye tabia nzuri niweze kuanza...
Ni msichana aliekua mpenzi wangu kipindi niko 0-level. nakumbuka vizuri alikuwa hajawahi fanya mapenzi na m'me yoyote.
Kusema kweli sikumpenda ingawa yeye alinipenda sana. nilipenda tu...
niko more interested kujua gharama za harusi naomba mnisaidie kupata mchanganuo mzuri wa gharama zake nataka kufunga ndoa ya kislam mwezi wa 5
maitaji ya watu yawe watu 200 lakini pasipo pombe...
UKATILI WA KIJINSIA?
Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara nchini Kenya. Jumapili ya...
WanaJF,
Nimetulia na kuamua kuleta kwenu uzi huu ili mnisaidie ushauri!Miaka ya 2002 nilikuwa na uhusiano na binti mmoja ila bahati mbaya tulipoteana kipindi kirefu sana takribanii miaka 10...
1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika
2. Mwanamke aliyeachika
3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa...
1 ) STOP COMPARING!!
"Why don't you dress like Mike's wife?",Why you never take me out! See how Ann's husband goes out with her all the time?"; "Couldn't you be more hardworking,can't you see how...
Leo ni siku ya wanawake duniani kabla ya kwenda sana kwanza fikiria "siku ya wanawake." Si nia yangu kuwakandia but hoja yangu ni vita vya kipumbavu wanayopigana na jinsia ya kiume.
Ukiwasikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.