Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana! Kama heading inavyojieleza hapo juu. Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:- 1. Awe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wapendwa, Poleni na mihangaiko ya kila siku. Nimejitokeza humu kwa mara ya kwanza kabisa. Kifupi natafuta mwanamke ambaye badaye atakuja kuwa mke wangu seriously. Mimi na mwajiriwa na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Heri njema kwa mamangu mzazi, mke wangu, dada zangu, binti yangu na wanawake wote kwa jumla. Nawatakia women's day yenye fanaka. Kwangu mie kila siku ni siku yenu.
6 Reactions
6 Replies
3K Views
wanawake mnaojituma, mnajiamini, na pia wale single mothers hii siku yenu enjoy. Happy Womens Day
5 Reactions
1 Replies
2K Views
1. Usingizi mzuri. Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono. 2. Self-esteem booster. Watu wengi hawajiamini...
9 Reactions
222 Replies
37K Views
Habari wanajamvi, Ninajitokeza kwenu kutafuta rafiki wa kike ambaye kwa baadae aje awe my wife to be.Niko Lindi umri miaka 26. Kabila ni Sukuma asiwe mwanachuo na ikiwezekana atokee au awe wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Awe na sifa zifuatazo, Elimu Chuo kikuu hata kama hajapata kazi, Mrefu wastani, sichagui kabila wala Dhehebu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa kiliwaka moto, kikachemka hasa. Vipele vya baridi vikamtoka huku kijasho chembamba kikimtiririka usoni, akatetemeka mwili na nafsi, mkono mmoja kiunoni mwingine mdomoni, ameduwaa! Alikuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mapenzi uwanja mpana, Ya sasa tofauti na ya jana, Wakati ule mimi kijana, Vijana wakipendana, Huishia kuoana.[/SIZE] [SIZE="3"]Pesa haikuwa kitu cha maana, Starehe na mapenzi wala...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
habarini wanandugu Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa...
0 Reactions
351 Replies
22K Views
umemuona kijan ahuyo kamwagiwa sulphuric acid....ndokawa hivo jamani tujiepushe........ Awais Akram was left severely disfigured after he was targeted in revenge for his liaison with...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11 Wazima nyieee, sio kwamba jpili nili wachomesha mahindi makusudii ni kwamba kama gundu tu, ki laptop chaliiiiii! Mungu si athumani...
17 Reactions
342 Replies
58K Views
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia. Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa...
2 Reactions
103 Replies
14K Views
Habari Wapendwa wa Jf na wana MMU woote... Kwa mara nyingine nashare yale niliyo nayo katika mahusiano yetu haya ya kila siku ambayo tunafurahia na wakati mwingine kutuendesha. Ukiwa na mtu...
51 Reactions
191 Replies
19K Views
Read the Books, read the Bible & Quran, you'll see that Prostitution has been for ages, but why is it still regarded illegal?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wasalamu wana MMU! Ningependa kushare nanyi hii mambo mana hata siielewi kabisa.Ni hivi kuna binti mmoja nilikuwa na uhusiano nae mwaka 2014 wote tukiwa chuo. Sasa baada ya sintofahamu nyingi...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Mpo wakuu? Ninaye rafiki yangu. Baada ya kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili amerudi nyumbani na kukuta mkewe wa ndoa akiwa na mimba ya miezi nane. Kumwuuliza mwenye mimba mkewe amemwambia kwamba...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Wasalaaaaam, Kama ilivyo ada vyuo msimu huu huwa unakuwa mgumu kwa Wanachuo wengi. Huu ndiyo muda wa kumaliza semester ya kwanza na wanafunzi wengi hujifanya wanawapenda sana Wahadhiri...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Ukitaka kupata maana halisi ya ule usemi usemao "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" basi jaribu kuchunguza wale wadada wote wazuri na Waliokua wanajifanya matawi au mastaa sana kitaa na skuli...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom