Wanawake wavaa mawigi hawajui mapenzi

chifusongea

Senior Member
Jan 8, 2016
164
154
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.

Hata kukatika mauno hawajui, nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni, utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
 
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake.Mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.Hata kukatika mauno hawajui.
Nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni.Utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
Hahahaaaaaa sikujua mapenz ni kukata kiuno.
 
Chunguza mkuu aliyemnunulia wigi.....kama hujanunua we we Basi acha kulalamika!

But ufundi Wa mapenzi na wigi wapi na wapi braza? Mbona Hamna co_relation....
 
Sasa kuna uhusiano gani katika kuvaa wigi na kufanya mapenzi??? Au nikuulize nikimchukua yule anaesuka twende kilioni nikamvalisha wigi nae atageuka kuwa 'hajui mapenzi'?
 
Sasa kuna uhusiano gani katika kuvaa wigi na kufanya mapenzi??? Au nikuulize nikimchukua yule anaesuka twende kilioni nikamvalisha wigi nae atageuka kuwa 'hajui mapenzi'?
Hahaaaaaaa.......au umchukue mvaa mawigi afu ukamsuka twende kilioni atajua mapenzi? Mweeeee
 
Chunguza mkuu aliyemnunulia wigi.....kama hujanunua we we Basi acha kulalamika!

But ufundi Wa mapenzi na wigi wapi na wapi braza? Mbona Hamna co_relation....
Anaogopa gharama si unajua bei zake zile original..........
 
ha ha ha ha nimecheka lol, wewe umeamua tu kutuchekesha ila wacha nikwambie hao hao wanaovaa mawigi wapo ambao ni wazuri kimapenzi na wapo ambazo zero, na hao kina mwajuma wapo wazuri kimapenzi na zero, na huko kwakina mwajuma unaweza kutana na kiumbe hajui hata kuiosha papuchi, na huku kwenye mawigi wasafi kila kona ya jiji, kwahiyo si wote wako hivyo, ila kusema ukweli wigi linapoteza ladha ya mapenzi unajua mwanaume kupapasa kichwa na kukutana na maplastic aaaaagh!! hata wewe unaeshikwa sidhani kama unapata hisia, mana kuna style kama kifo cha mende mikono lazima itafika kichwani, au akiwa anakuangalia usoni unavyoisikilizia lazima ashike kichwa na wengine hata wakimaliza wanajitupia hapo hapo kifuani kichwa kikiwa chini ya sikio sasa ile minywele jamaani aaaaaaaagh!!!! na ukute mtu kazurura nayo kwenye jua na joto la dar harufu yake sasa? aii...nywele za asili katika mapenzi zinatia ashki na ukumbuke zile nywele zina manukato yake zikiwa zinanukia yani zinazidi tia hamu,
 
Hahahaaaaaa sikujua mapenz ni kukata kiuno.
Kama ni gari basi ni Engine, Yani katika swala la ku "do" kama mwanamke hazungushi hata kiuno basi jua ni sawa na gari kukosa engine inabidi ulivute kwa Kamba labda na utafika safari yako ila utakuwa umechoka mno, lilipaswa likubebe au likuendeshe ustarehe matokeo yake umeliendesha wewe. bashasha (romance) ni nzuri ila kiuno ndo mpango mzima.
 
Sizitaki mbichi hizi Hahahaha umepigwa kibuti uko na mvaa wigi unaleta visingizio kisichokuwa na mashiko
 
Kama ni gari basi ni Engine, Yani katika swala la ku "do" kama mwanamke hazungushi hata kiuno basi jua ni sawa na gari kukosa engine inabidi ulivute kwa Kamba labda na utafika safari yako ila utakuwa umechoka mno, lilipaswa likubebe au likuendeshe ustarehe matokeo yake umeliendesha wewe. bashasha (romance) ni nzuri ila kiuno ndo mpango mzima.
Nimekupenda ghafla
 
Back
Top Bottom