Je, huyo mke akipatikana utamsaidia pamoja na vitu vingine? Au umemsaidia tu kutafuta? au Huyo mwanamke ndiye atakakulipa wewe? Na Kama mwanamke ndiye atakayekulipa ungependa akulipe nini?KAKA YANGU ANAHITAJI MKE AMBAYE NI VERY SIMPLE...YAANI ASIWE MCHARUKO NA MPENDA STAREHE HASA POMBE N.K UMRI WAKE NI 34YEARS. MWANAMKE YOYOTE AMBAYE YUPO SERIOUS AWASILIANE NAYE KWA 0629141421 YEYE NI MWALIMU SM-ARUSHA.