Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.
Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu
Tunaoa sana kwasababu...
Wakuu wa JF naomba kuuliza nani katika hawa waliotajwa hapo juu ni nani wa kwanza kuheshimiwa ,maana mwanamke anakaa kwako anakula ,analala na hela ya matumizi unampa lakini cha kuchangaza heshima...
Huyu dada ameolewa huko nchi za watu, miaka 7 ndoani ana watoto wawili. tatizo alilokuwa nalo dada anataka kurudisha makazi Tanzania mume wake hataki (jamaa ni raia wa hiyo nchi).
Ugumu unakuja...
Naongelea waalimu wa shule za msingi na upili (baadhi sio wote) zamani enzi za mwalimu ukitaka kuoa waalimu ndio walikuwa ni candidate wa kupigiwa mifano kila mtu atakupongeza kwa kubahatika...
Habari za siku nyingi enyi watanganyika wenzangu?mpenzi wangu kajifungua mtoto wa kike,nilikua naomba kujulishwa kama ni sahihi kumuita jina linalofanana na la x wangu ambaye tuliachana in good...
Mwezi mmoja uliopita mke wangu alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mimi ndie nilitoa...
Niliwahi leta thread hapa kuhusiana na experience yangu ya kuwa baby mama.
Ofcourse niliumia sana kwa yaliyo tokea,ila sikuwa na budi kumove on.Doctor wangu alinisaidia sana kisaikolojia,Mungu...
Natafuta rafiki (jinsia yoyote) anayesoma au aliyesoma maswala ya journalism especially utangazaji wa TV/Redio.
Kwa ambaye atakuwa tayari kwa hilo, please send me a message!
Kuna kaugonjwa naona kanakua sana kwangu, yaani nikiona mkia wa mwanamke napata kama mshtuko fulani wa kimapenzi kwa mdada mwenyewe na kama kuna chance lazima nimtongoze huyo dada, haijalishi kama...
Kama ambavyo huwa nasema humu kila mara mimi ni mpenzi wa mikia.
Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili, napata wakati mgumu sana kurudia kumtazama.
Hivi karubuni nilikutana na binti...
Wasalaam waungwana,
Jana usiku nimerudi kutoka mihangaikoni namkuta mke wangu ana huzuni na majonzi huku macho yake yakiwa yamevimba. Nikamuuliza mbona una hali hiyo mama? Akanijibu in short tu "...
Naomba kupata ufafanuzi wa suala hili, nini kinaweza kukufanya ukafanya mapenzi na nduguyo (kaka, dada, mjomba, shangazi, mama mdogo, nk ) au ni mazingira yapi yanayochangia hii mambo?? Kesi hizi...
Habari wana MMU,
Kama kweli we ni mpenzi wa jukwaa hili utakubaliana na mimi kwamba lugha inakua. Katika pitapita zangu humu ndani nimekua nikikutana na maneno mapya kabisa yanayoniacha hoi...
Naleta kwenu wadau,
Yupo dada mmoja ambaye nimetokea sana kumpenda. Ukaribu wetu na kufahamiana kulianza mwaka huu mwezi January. Sasa baada ya kufahamiana kama marafiki kwa muda sasa nimetokea...
"Nimekuwa ktk mahusiano na wasichana tofauti tofauti ktk nyakati tofauti, relationships hazijafanikiwa kumpata yule ambae nilitegemea atakuwa wangu wa milele,wasichana wengi nlokutana nao ni money...
I am looking for a woman who is going to be my wife. Age of 22-27 and should be independent. I'll consider mostly those from lake zone except kagera region. I am 29 yrs old.
More details will be...
Habari zenu wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.