exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Habarini za asubuhi... Nina mdogo wangu was kiume Ana mwanamke wake walianzana tangu A level Mpaka was wako chuo mwaka wa pili...Sasa jizi katoa taarifa ya kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi was binti ili mwezi was tisa amuoe...binti was 1993 na kijana ni wa 95...binti ni Muslim,na kijana ni mkristo ...ebu tumshauri huyu dogo kwani mimi binafsi naona kama Ana haraka sana it's too early.