BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
I salute you JF members,
Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.
1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.
2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!
3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.
4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!
5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.
Karibuni.