WIFE....Honey plz lets come and help
me in the garden to clean these
flowers??
UYU.......Are you mad ,do I look like a
gardener?
WIFE.....Ok sory babie,...but
sweetheart please go and fix that...
Habari wadau
Katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini tulikua tukichangia harusi 5000 unapata single card na 10,000 unapewa bibi na bwana
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi Katikati mwa 2000...
Habari zenu wana JF,
Ninaomba ushauri kwenu.
Juzi nilirudi nyumbani muda ambao si kawaida yangu. Kawaida narudi kuanzia mida ya saa 1 moja jioni. Juzi nilipofika ofisini niliitwa kwa MD...
Kapo ka hulka kamezuka siku hizi kwenye muundo wa njia za kuanzisha mahusiano.Wanawake wa leo si wale tuliowajuwa enzi zile.Kwanza wamekuwa wepesi kung'oleka kirahisi sana.Miaka ile papuchi...
Habari Wana JF,
Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zaidi mimi.
Wasifu wangu...
Wakuu za mchana,
Kwanza samahani kama hii inaweza kuwakwaza baadhi ya watu lakini sina mrengo huo.
Katika kuishi kwangu uswahilini nimekutana na mambo mengi lakini kuna hili moja ambalo bado...
ULIYE NDANI YA NDOA NA UNAYETEGEMEA KUINGIA SIKILIZA NENO HII
ROHO AWAAMBIA NINYI KUPITIA KINYWA CHANGU.......
Uchafu ni asili ya shetani, uchafu huo hautofautiani, nazungumza uchafu wa kiroho...
Katika pita pita zangu nimekutana na maneno haya juu ya aina za ndoa nimeamua nishare nanyi wana jamii.
Angalizo kwa ulie katika aina yoyote tajwa,usijitie hatia ktk hali uliyonayo. Kikubwa...
UNFORGETABLE KISS ON MY LIPS(BUSU
NISILOLISAHAU KATIKA MIDOMO YANGU)....EP
01
WRITER; KELVIN .E. BIATUSI.
Ilikuwa asubuhi njema kwangu siku ya ijumaa
mida ya saa mbili hivi nilikuwa nikipiga...
Ni mara yangu ya kwanza kutafuta mrembo aliyetayari kuolewa.
Vigezo;
Asiwe mfanyakazi sehemu yeyote
Maji ya kunde rangi yake
Mwembamba wastani
Asiwe na mtoto
Anayetokea mikoa ya kanda ya Pwani...
Habari za weekend wana jamii,
Salamu nyingi kutoka huku shamba.
Hebu tutizame mambo kadhaa yanayomtofautisha mwanamume na mvulana kwa faida ya jamii yetu.
Ushauri kwa wanaume.
Dear men,
1...
Habari za wakati huu wanajamvi. Bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada.
Wapendanao wakigombana kujulikana ni rahisi sana. Baada ya kuona shem akitaka kuwasiliana na jamaa anapitishia ujumbe...
Hi, wapendwa nakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na dunia, natumai hamjambo hapo mlipo.
Ukiwa umelala, upo kazini nk, nikukumbushe nyuma kidogo kuhusu mpendwa wako mliyependana...
Habari wanajamvi?
Mke na mume asubuhi moja wamegombana ndani ya nyumba. Mwanaume anadai kwamba mkewe ndio mwenye kosa na anapaswa kumuomba msamaha. Mke hakuona ni issue kwake na hakuona haja ya...
Habari wanaJF,
Umeoa na unaishi na mkeo mlie jaliwa naye watoto wawili ambaye mmoja yupo nje ya nchi anasoma,katika hali ambayo ni ya kawaida japo ngumu kuizoea unaambiwa mzazi wako wa kike...
Habarini wana jamvi, natumai muwazima.
Miaka kadhaa iliyopita nilianza kumfatilia mdada mmoja ivi, kipindi iko mimi nipo chuo mwaka wa kwanza na yeye alikua amemaliza kidato cha nne. Sasa...
Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!Sio robot. Ngoja...
Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.